Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Victor kazi anayo naona bailly means business this time, Rashford sijui kawaje leo anacheza ujinga tu anaingia kwa 18 anapiga kama under 14.
Lile goli dah uzembe sana mpaka bailly alikua anaonesha mikono wakammark Jack lakini hola mpaka kapeleka madhara, POINT 3 NDO MUHIMU
Jack msumbufu sana mpuuzi yule A. Villa wako vizuri sana msimu huu yani wamepindua meza kibabe sio wepesi kabisa.
Lindelof anajua Baily atampisha mwenyewe tu kwa kuomba sub..

huyu jamaa injury zinamtesa sana
 
Shaw ajirekebishe kupiga ile mipira anayopitishiwa.. yote anapiga kwenye miguu ya mabeki.

Hata kukata v-pass anashindwa?.. au kunyanyua kidogo watu wavuruganane wenyewe.
 
Jana insta kulikua na kumfananisha Bruno na Kimmich.

Katika game 48 Bruno ana assisst 16. Katika hizo game 48 Kimmich ana assisst 21. Bruno ni kiungo mshambuliaji na Kimmich ni kiungo mkabaji.

So kwenye karatasi inatakiwa imaanishe Kimmich anaweza kazi ya kuwalisha washambuliaji kuliko Bruno ila katika uhalisia inakuja hivi Kimmich anampa pasi Lewandoski, Muller au Gnabry wote hawa ni clinical finishers halafu Fernandes anampa pasi Rashford, Martial, Greenwood au Ighalo.

Bruno angekua Bayern angekua na assisst zaidi ya Kimmich simply kwakua ukimpa Lewandowski pasi 5 anaweza akakosa moja au mbili. Rashford ukimpa pasi tano anaweza akakosa zote.

Same ilikua kwa Ronaldo msimu uliopita wakasema ni mbovu kwa assisst na yeye ilikua hivi hivi, ukicheki game unaona anatoa pasi ila watu wa kufunga ndiyo hakuna.

Ile post ilimkosea heshima Bruno.
 
Rashford not yet a finished article like Lewandoski
 
Back
Top Bottom