Nimeona anajua sana long ballsjohn mcggin naye nimemuelewa, anafaa kuvaa viatu vya nemanja matic
Scott aliifanya mech kuwa ngumu na fred walikuwa wakipoteza mipira hovyo rashford pemben huwa anahangaika sana ila kikubwa point 3 mkuuugly as f.uck..lakini 3 points nazipokea..
Rashford hakuwa mchezoni kabisa leo..
MOTM..Bailly..Kitasa hiki
GGMU
No.Man of the match..erick baily
Kuna taarifa zilitoka last summer zinasema wanataka mil 80.....jamaa yupo vizuri, sijui bei yake ni kiasi gani
Imagine kuna bruno na greanlish....hataari
Anaipenda sana man u, ameshamwambia mama yake kwmb ndoto zake ni kucheza old trafford sema tulikuna sn akaamua kubaki.jamaa yupo vizuri, sijui bei yake ni kiasi gani
Bailly akiwa fiti ni shida kutuokoa dakika ya 94 wakina mata naona wanavyomshangilia inatia moyo samaBaily na shaw leo wamepambana aisee
Mkuu kama asipochukua bailly basi utakuwa mzaha leo bailly ilikuwa mech yakeNo.
Kama kawaida Bruno Ferdinandes. Huyu jamaa kila match ni yeye tu.
Yes. Hata AWB. Sema tunamshusha kwa kosa alilofanya la kutokufanya Marking mpaka tukafungwaBaily na shaw leo wamepambana aisee
Rashford papara nyingi na uchoyo mwingi..Scott aliifanya mech kuwa ngumu na fred walikuwa wakipoteza mipira hovyo rashford pemben huwa anahangaika sana ila kikubwa point 3 mkuu
Wamempa Bruno. Nimeangalia mpaka akihojiwaMkuu kama asipochukua bailly basi utakuwa mzaha leo bailly ilikuwa mech yake
Hahahaha tumechukua point 3 zetu tulizomvuta arsenal kwenye uwanja wa kushuka daraja villa katuleteaHaiwezekani mtoto mdogo akasumbua watu wazima mtaaani, HAIWEZEKANI nasemaView attachment 1665146
View attachment 1665147
Sahivi team inacheza kwa kujituma aisee hii game nilikuwa naigopa atariYes. Hata AWB. Sema tunamshusha kwa kosa alilofanya la kutokufanya Marking mpaka tukafungwa