Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Anapiga mitungi yule msikieni tuSio mtu na nusu pekee ,,Bali ni mtu mbili kasoro.
Jamaa fundi sana.
Anapiga mitungi yule msikieni tuSio mtu na nusu pekee ,,Bali ni mtu mbili kasoro.
Jamaa fundi sana.
Sawa OGS tumekusikiaEvery game is a final mkuu..
Burnley,,, Watford,, Liverpool zote level moja mkuu,
Ushindi ni points 3..
Moto ni ule ule ,,,hakuna kudharau mechi..
Mechi zote tunaweka fully mkoko..
kunifunga sita sio sababu ya kuwa timu ndogo ndogo na ya juzi kwani Aston villa hakumfunga liva 7 na bado ni timu ndogo tu a.k.a underdogJuzi juzi ilikufunga 6
Mbona unajichekesha ovyo humu jukwaani?hawezi kujikaza uyo
pambaneni na Covid hukoMimi Manchester city
Ila kwa mpira aliocheza villa Jana angekuwa Liverpool,arsenal au chelsea kulikuwa na saba nyingine pale.Man Utd sio kuchukua ubingwa tu
Bad News nikuwa
Haina uwezo hata wa kukaa top of the table
Ni swala la muda tu
Hata Kimmich angekua man u hii asingeonekana lolotemkuu huyu Joshua Kimmich hawajakosea hata kidogo kumfananisha na fundi Bruno mi naona wote ni wachezaji bora isipokuwa kila mmoja kuna anachomzidi mwenzake,kwangu mimi kiungo bora kwasasa ni Bruno ila ukiwa na Kimmich anakupa zaidi ya kile unachohitaji coz anaweza kucheza nafasi nyingi kwa ufanisi zaidi ya mchezaji yeyote duniani.
Kila uchwao story zinabadilika mara hawez kumfunga aston villa saiv imekuwa top of the tableMan Utd sio kuchukua ubingwa tu
Bad News nikuwa
Haina uwezo hata wa kukaa top of the table
Ni swala la muda tu
Inaweza Corona fcMan Utd sio kuchukua ubingwa tu
Bad News nikuwa
Haina uwezo hata wa kukaa top of the table
Ni swala la muda tu
utumbo wa bata kabisa weweMan Utd sio kuchukua ubingwa tu
Bad News nikuwa
Haina uwezo hata wa kukaa top of the table
Ni swala la muda tu
Yaah bila shaka
Unataka nini kwaniMbona unajichekesha ovyo humu jukwaani?
Shetwain nyumbu.Ila kwa mpira aliocheza villa Jana angekuwa Liverpool,arsenal au chelsea kulikuwa na saba nyingine pale.