Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Victor kazi anayo naona bailly means business this time, Rashford sijui kawaje leo anacheza ujinga tu anaingia kwa 18 anapiga kama under 14.
Lile goli dah uzembe sana mpaka bailly alikua anaonesha mikono wakammark Jack lakini hola mpaka kapeleka madhara, POINT 3 NDO MUHIMU
Jack msumbufu sana mpuuzi yule A. Villa wako vizuri sana msimu huu yani wamepindua meza kibabe sio wepesi kabisa.
 
Mwenye wallpaper za Baily atume asee nimuweke kila sehemu
Anza na hiyo mkuu
Screenshot_20210101-232859.jpg
 
Jack Grealish’s game by numbers vs. Man Utd:

92% pass accuracy
24 final third passes
8 fouls suffered
7 ball recoveries
4 chances created
2 tackles won
1 assist
===================
Jack Grealish won eight fouls tonight, one of only three instances since 2003/04 of a player winning 8+ fouls in a Premier League match at Old Trafford - the others were Cristiano Ronaldo vs Blackburn in April 2005 (8) & Wilfried Zaha vs Man Utd in May 2017 (10).
 
Victor kazi anayo naona bailly means business this time, Rashford sijui kawaje leo anacheza ujinga tu anaingia kwa 18 anapiga kama under 14.
Lile goli dah uzembe sana mpaka bailly alikua anaonesha mikono wakammark Jack lakini hola mpaka kapeleka madhara, POINT 3 NDO MUHIMU
Jack msumbufu sana mpuuzi yule A. Villa wako vizuri sana msimu huu yani wamepindua meza kibabe sio wepesi kabisa.
Victor atakuw ancheza mech ndog ndogo kama vs Watford
 
Jack Grealish’s game by numbers vs. Man Utd:

92% pass accuracy
24 final third passes
8 fouls suffered
7 ball recoveries
4 chances created
2 tackles won
1 assist
===================
Jack Grealish won eight fouls tonight, one of only three instances since 2003/04 of a player winning 8+ fouls in a Premier League match at Old Trafford - the others were Cristiano Ronaldo vs Blackburn in April 2005 (8) & Wilfried Zaha vs Man Utd in May 2017 (10).
Anapiga cross hatari sana jamaa.
 
Namuelewa sna jack grealish
 
Dogo aje ngoja tuende kwny page ya Man huko tukawajaze watu upepo
 
Back
Top Bottom