Nafikiri ndiyo kamaliza. Kama ana ukali uliobaki basi hautazidi misimu miwili. Alioanza nao kama wakina Mbappe tusemeje? Au HaalandRashford not yet a finished article like Lewandoski
Nafikiri ndiyo kamaliza. Kama ana ukali uliobaki basi hautazidi misimu miwili. Alioanza nao kama wakina Mbappe tusemeje? Au HaalandRashford not yet a finished article like Lewandoski
Hapa nakusanya data vizuri za Grealish nikawawekeeKkkkkk Mkuu!!!
Twende tukachochee kuni.
Jamaa mzr sana huyo..akija kikosi kitakuwa na option nyingi za kucheza.
Yupo vzr sana mkuu,,hata kwenye page za united fans wanamzungumzia sana tu.Hapa nakusanya data vizuri za Grealish nikawawekee
Shaw hatulii siku hiziShaw anapandisha timu lakini akifika maeneo ya hatari hata AWB ana afadhali..Poor poor deliveries..Mipira yote inablockiwa..Telles majalo zake nzuri sana,zote anazishusha ndani ya boksi
Akija msimu huu ubingwa wetu 100%Yupo vzr sana mkuu,,hata kwenye page za united fans wanamzungumzia sana tu.
Wanalaumu sana management ya usajili ya man u,,ipo so slowly..
Ila atakuja tu..
Hakika mkuuAkija msimu huu ubingwa wetu 100%
Na Leo ole amesema sasa man u tupo kwenye kugombea kombe..
Na vijana wana moral ya kubeba ndoo.
Wanajaribu kuongeza watu na nusu kama 3 hivi..
Timu izidi kuwa strong.


watu na nusu
Tukutane mwisho wa msimuMan u hawezi kuwa bingwa Never Ever
Mashabiki wote wa Man u waimba taarabu tu.Tukutane mwisho wa msimu
Kupata wachezaji kama Jack January sio kitotoLeta dialo leta grealish leta CB mashabiki tuanze kujenga jukwaa
Mkuu cham lako ni lipi??Mashabiki wote wa Man u waimba taarabu tu.
Mimi Manchester cityMkuu cham lako ni lipi??
man city hii ya juzi juzi? DahMimi Manchester city
Mechi ijayo tunakuanzisha wewe ukapandishe mashambuliziShaw anapandisha timu lakini akifika maeneo ya hatari hata AWB ana afadhali..Poor poor deliveries..Mipira yote inablockiwa..Telles majalo zake nzuri sana,zote anazishusha ndani ya boksi
Juzi juzi ilikufunga 6man city hii ya juzi juzi? Dah
mkuu huyu Joshua Kimmich hawajakosea hata kidogo kumfananisha na fundi Bruno mi naona wote ni wachezaji bora isipokuwa kila mmoja kuna anachomzidi mwenzake,kwangu mimi kiungo bora kwasasa ni Bruno ila ukiwa na Kimmich anakupa zaidi ya kile unachohitaji coz anaweza kucheza nafasi nyingi kwa ufanisi zaidi ya mchezaji yeyote duniani.Jana insta kulikua na kumfananisha Bruno na Kimmich.
Katika game 48 Bruno ana assisst 16. Katika hizo game 48 Kimmich ana assisst 21. Bruno ni kiungo mshambuliaji na Kimmich ni kiungo mkabaji.
So kwenye karatasi inatakiwa imaanishe Kimmich anaweza kazi ya kuwalisha washambuliaji kuliko Bruno ila katika uhalisia inakuja hivi Kimmich anampa pasi Lewandoski, Muller au Gnabry wote hawa ni clinical finishers halafu Fernandes anampa pasi Rashford, Martial, Greenwood au Ighalo.
Bruno angekua Bayern angekua na assisst zaidi ya Kimmich simply kwakua ukimpa Lewandowski pasi 5 anaweza akakosa moja au mbili. Rashford ukimpa pasi tano anaweza akakosa zote.
Same ilikua kwa Ronaldo msimu uliopita wakasema ni mbovu kwa assisst na yeye ilikua hivi hivi, ukicheki game unaona anatoa pasi ila watu wa kufunga ndiyo hakuna.
Ile post ilimkosea heshima Bruno.
Mechi ijayo tunakuanzisha wewe ukapandishe mashambulizi
hawezi kujikaza uyo