Cross toka kwa asiyejua cross!!Leo Martial kafunga goli la kichwa
Cross toka kwa asiyejua cross!!
ahaaahaa! Atakuwa ameanza mazoezi ya kupiga cross.Cross toka kwa asiyejua cross!!
Wan BisakaNani? Maana leo naangalizia mpira kupitia uzi huu.
Asante mkuu. Leo nimekosa uhondo wa mechi. Niko vichakani kiasi kwamba hata kuangalia kupitia streaming haiwezekani.Wan Bisaka
Midfielders ameweka hasa.Leo naona Man wanacheza vizuri sana.
Pole sana. Match moja kali sanaAsante mkuu. Leo nimekosa uhondo wa mechi. Niko vichakani kiasi kwamba hata kuangalia kupitia streaming haiwezekani.
Ulimwambia apige mazoezi ya cross SAA 12 hadi SAA 4 asubuhi, amekusikia.ahaaahaa! Atakuwa ameanza mazoezi ya kupiga cross.
Mkuu🙌 uko vizuri sanaMy projection
Manutd 3 - 1 Aston Villa
BTTS & O2.5
Martial to score at any time
No red cards
Corners U7.5 for either side
Ball possession 58- 42% in favour of Manutd
Shots on goal
O12 for Manutd against O5.5 for Aston Villa
Meet you after the match
Leo hata Pogba, Shaw wanacheza mpira wa maana sana.Leo naona Man wanacheza vizuri sana.