


He deservesHuyu jamaa anazoa hizi tuzo kila uchwaoView attachment 1664744








Jamaa anatembea hatari sana. Sasa wangekuwa na Barkley aisee. Sema vile Barkley ni majeruhiile nguvu tulioitumia kupambana na michael zorc kwa ajili ya usajili wa sancho ni bora tuielekeze kwa grealish dirisha lijalo
Huu uzi sasahivi ni kama kituo cha polisi hawawezi kukaa kwa amani, sasa tujadili mechi yetu wazee au mnasemaje..Ma cheltako yako wapi au yamekimbia uzi![]()



john mcggin naye nimemuelewa, anafaa kuvaa viatu vya nemanja maticJamaa anatembea hatari sana. Sasa wangekuwa na Barkley aisee. Sema vile Barkley ni majeruhi
Kuna mtu nilimwambia humu huyu jack ni mtu na nusu akasema wa nini yule ni hatar sana mpira wenyewe kumpora ni shughuliile nguvu tulioitumia kupambana na michael zorc kwa ajili ya usajili wa sancho ni bora tuielekeze kwa grealish dirisha lijalo
jamaa yupo vizuri, sijui bei yake ni kiasi ganiKuna mtu nilimwambia humu huyu jack ni mtu na nusu akasema wa nini yule ni hatar sana mpira wenyewe kumpora ni shughuli
Ilikuwa £80 vila wanatakajamaa yupo vizuri, sijui bei yake ni kiasi gani
Na pogba ndani mbona mnapigika sasa solskjaer alikuwa akimtaka grealish na sanchoImagine kuna bruno na greanlish....hataari