Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sosha kashamalizana nae uzuri na yeye anmuelewa sana Jack.Hii ni baada ya game
IMG_20210102_015036_949.jpg


Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Man U tungekuwa na kocha mzuri tungechukua ubingwa msimu huu!
Tatizo ni upangaji kikosi tu,,,akiweka kikosi kizuri na sub za kueleweka hata huyo ole atatubebesha ndoo msimu huu..2020/2021.

Jambo hilo linawezekana mkuu...ila mchawi mkubwa wa ubingwa wa man u ni majeruhi..

Hilo ndy tatizo kubwa sana kwa sasa.
 
Back
Top Bottom