Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo ni ole jinsi ya kumchezesha pogba,,
Siku zote hakuna mchezaji world class anayependa kutokea bench,,na kupewa game time ndogo.,,mchezaji anapocheza game time nyingi ndy kunaongeza confidence yake uwanjani. ,,

Nadhani man u inapaswa itengeneze mfumo wa kuchezesha attacking midifilders 2 mbele,,

kwa mfumo huo ,,pogba apewe nafasi ya kuattack zaidi..na hata VDB pia atapata nafasi ya kucheza,,
Badala ya mfumo wa kuchezesha defensive medifilder 2 na attacking medifilder 1.
Mfumo huo wa kuchezesha 2 dmf unamfanya pogba na VDB kukosa nafasi...
Kocha abadilike mfumo.
Midfielder sio lazima awe defensive ama attacking tu, Pogba anachezeshwa kama box to box (sawa na Timu ya taifa). Na ni katika nafasi hii ndio unapata quality zake zote ikiwemo long pass.
 
★Tunacho Ongelea ni Goli ama Tunaongelea kafunga vP kwani ukifunga kwa Penati inakuwaga si Goli. Ko mfungaji wa Msimu wakiwa wanahesabu magoli yake huwa wanayatoa yale ya PENATI???★
Huyo kuku wenu Kati ya hizo goli 6 amefunga magoli mangapi ya penalty.
 
★For sure hata jana kuna jamaa katoka kumtetea ety wewe mtu anamponda Mwajili wake na dhahili tunaona haonyeshi kiwango kawa Ronaldo ama Messi kwamba ashuke kiwango hatolewi First 11 hatupi hivyo aende zake bana★
Huyu tuuze tu, overrated, virus (in Mou voice)

Kila akiojiwa na france media lazima azue drama, mbona fundi bruno akiojiwa anakua positive kw club na kocha wake
 
★ VOTE: Which club icon would you re-sign to help your team?

manutd |
IMG_20201117_115444_940.jpeg
 
★£1billion spent on players since Sir Alex Ferguson retired in 2013...

Four managers. 36 signings. From Moyes to Ole, Fellaini to Cavani.★

#GGMU

manutd |
IMG_20201117_115420_067.jpeg
 
PAPAA GX kwenye ubora wako.
Naona uko ndani ya bikini, ni kujikatisha katisha kwenye magheto ya wauni.

Mara hii ushafika huku?
Hivi kwenye ile story uliishia wapi? Ni tag nikamalizie achana na hili li timu litakupa stress.
 
Back
Top Bottom