Tatizo ni ole jinsi ya kumchezesha pogba,,★Hakuna ambae anararamika Pogba si mzuri ni mzuri ila swala lakuwa anatoa shit kuhusu timu inomuweka mjini ndio kosa,Afu sioni umaana wakumng'ang'ania yeye kama kasema hayuko happy he iz free to go wherever he wants sio tunabaki kubembeleza jibaba zima bhana kuna muda tubadilike mzee★
Ujio wa VDB na BF,Imekua ni habari mbaya sana kwake zile mbwembwe alizompa Mau saivi hawezi maana replacement zake zipo tena zenye tija kwa timu.Not for sale...
Pogba ni special
Hawa DMF (Fred na Tominay) ndio wanafanya kazi iliyotukuka na kumfanya BF azidi kuwasha moto.Tatizo ni ole jinsi ya kumchezesha pogba,,
Siku zote hakuna mchezaji world class anayependa kutokea bench,,na kupewa game time ndogo.,,mchezaji anapocheza game time nyingi ndy kunaongeza confidence yake uwanjani. ,,
Nadhani man u inapaswa itengeneze mfumo wa kuchezesha attacking midifilders 2 mbele,,
kwa mfumo huo ,,pogba apewe nafasi ya kuattack zaidi..na hata VDB pia atapata nafasi ya kucheza,,
Badala ya mfumo wa kuchezesha defensive medifilder 2 na attacking medifilder 1.
Mfumo huo wa kuchezesha 2 dmf unamfanya pogba na VDB kukosa nafasi...
Kocha abadilike mfumo.
Ni kwl lakini kuwe na.mfumo wa kuweka attacking medifilder 2 mbele,,ili tuwe attack zaidi mbele,,mfano tu naweza tukaua wingi moja tukamuwekaHawa DMF (Fred na Tominay) ndio wanafanya kazi iliyotukuka na kumfanya BF azidi kuwasha moto.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Jamani tumeshakoma kwakweli! Kaondosheni ile Herizi yenu Anfield inatumalizia Wachezaji! Yani mpaka Daktari wa Timu injury???? Hii haikubaliki.

weekend Mane miezi 6.Wewe huwa unaangalia mechi zipi za united ?Tatizo ni ole jinsi ya kumchezesha pogba,,
Siku zote hakuna mchezaji world class anayependa kutokea bench,,na kupewa game time ndogo.,,mchezaji anapocheza game time nyingi ndy kunaongeza confidence yake uwanjani. ,,
Nadhani man u inapaswa itengeneze mfumo wa kuchezesha attacking midifilders 2 mbele,,
kwa mfumo huo ,,pogba apewe nafasi ya kuattack zaidi..na hata VDB pia atapata nafasi ya kucheza,,
Badala ya mfumo wa kuchezesha defensive medifilder 2 na attacking medifilder 1.
Mfumo huo wa kuchezesha 2 dmf unamfanya pogba na VDB kukosa nafasi...
Kocha abadilike mfumo.
Huyo kuku wenu Kati ya hizo goli 6 amefunga magoli mangapi ya penalty.
Huyu tuuze tu, overrated, virus (in Mou voice)★Manchester United want to extend Paul Pogba's contract despite recent suggestions he's unhappy at Old Trafford.
Fabrizio Romano claims the Red Devils still want to lock him down but talks are yet to reach an advanced stage..★
#GGMU
manutd | View attachment 1627610
Hii international break ni disaster kwa wachezaji aisee.★M.E.N. | Anthony Martial has some back problems, he will train separately this evening at the Stade de France.★
#GGMU
manutd |