Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Paul Pogba to RTL: "This is a period I've never experienced in my career. The French national team is a breath of fresh air… we are very happy to come here. It's not the same as with the club. We all group together, it is magical". [@GFFN] #MUFC #France #Pogba
 
Against WBA my First XI

De Gea

AWB Lindelof MaguireTelles[if fit]

VdB Fred Bruno

Greenwood Cavani Rashford

Westbromwich wabovu tu,itashangaza sana tukishindwa kuchukua point tatu kiulaini kabisa
Hapo greenwood aanzie bench ,,muweke martial kushoto na rashford kulia,,
 
Auzwe tu huyo ,,,,!! Huwez kuwa mkubwa zaidi ya club ,,,,!

Pia contract Yake inaisha 2022, atademand mshahara mkubwa zaidi ya wa Sasa , kiwango Cha kawaida ,, aende zake Turin huko ,, au tufanye swap deal na Madrid , watupe varane na hela , tuwagee pogba
 
★Bruno Fernandes believes United have the mentality to win the Premier League... Could they?

#GGMU

manutd |
IMG_20201116_115027_878.jpeg
 
Auzwe tu huyo ,,,,!! Huwez kuwa mkubwa zaidi ya club ,,,,!

Pia contract Yake inaisha 2022, atademand mshahara mkubwa zaidi ya wa Sasa , kiwango Cha kawaida ,, aende zake Turin huko ,, au tufanye swap deal na Madrid , watupe varane na hela , tuwagee pogba
sio 2022 ni 2021..au tayari tushafufua ule mwaka mmoja ambao tunao
weza kujadili na kuongeza?
 
★Mimi mwenyewe namuona ni Special kweli kwa ujinga anao fanya akiwa uwanjani hakuna mtu mwingine anaemfuata, Chaajabu bila kujali analipwa mshahara mkubwa Tofauti na kiwango chake cha Sasa anashindwa hata kujitahidi kuonyesha basi yupo na wenzake afu anaanza kulalamika hapati Game time yani unapewa kila kitu mpaka unakosa chakusingizia siku moja atakuja aseme anakatazwa kuingia Dressing room
Not for sale...
Pogba ni special
 
Nadhani ole pengine anamtumia tofauti,,.

Still pogba ni mchezaji mzr sana,,tatizo ni kwamba timu nzima ya man u,,ilipoteza Kiwango ,,

Sasa kila mchezaji anaanza kurudisha ubora wake,aliokuwa nao before.
Tumpe muda pogba,,
Ukianzia wbs,Bruno,, martial,,shaw, degea,,magwea,lindleof,,rashford,, nk wote hao walikuwa shit after cvd lock down,, na sasa wameanza kuonyesha makali.
Pogba bado ni kiungo bora kabisa,,
 
★Hakuna ambae anararamika Pogba si mzuri ni mzuri ila swala lakuwa anatoa shit kuhusu timu inomuweka mjini ndio kosa,Afu sioni umaana wakumng'ang'ania yeye kama kasema hayuko happy he iz free to go wherever he wants sio tunabaki kubembeleza jibaba zima bhana kuna muda tubadilike mzee★

Back
Top Bottom