Kinachoumiza ni kutokea bench,
,Leo huyo Bruno wanayemsifia kwa Kiwango chake,,
Siku akianza kuwekwa bench utamsikia atakavyo lalama,,na pengine kupoteza uwezo wake.
Pia ni kwl pogba kachezeshwa mifumo mingi lakini kocha anapaswa abaki kwnye mfumo huo ili uzoeleke na wachezaji,,
Sasa Mara kwamweka bench ,Mara kabadilisha mfumo huu,,
Kwa kifupi kocha haeleweki anachezesha mfumo gani,
Ni kama tunabahatisha ushindi wetu.
.
Tusilaumu pogba kwa sasa,, tumpe muda kama tulivyompa magwea ,,degea,,rashford na wengine..
Mchezaji aliyezowea kuanza first eleven,,, akianzia bench kuna wengine linamuathiri sn kichwani..
Pogba bado ni world class,,hastahili kuanzia bench..