OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hayo ni mahaba yaliyopitilizaYaani bruno umfananishe na Luka Modric! Wewe jamaa wewe
Hayo ni mahaba yaliyopitilizaYaani bruno umfananishe na Luka Modric! Wewe jamaa wewe
Kuna muda manyumbu yanajitoaga fahamuHayo ni mahaba yaliyopitiliza
Ikiwezekana aiweke humu, maana hakuna la maana humuHivi kwenye ile story uliishia wapi? Ni tag nikamalizie achana na hili li timu nitakupa stress.![]()
Huyu MagwayaaMuheshimu sana Maguire maana kwa pancha za Bailly hii inamaana kwamba Maguire ndio beki ya kati bora kuliko zote pale Old Trafford


Sasa wewe takataka hayo makombe luka aliyapata kwa kupewa? Ci uwezo wake binafsi ndo umempa hayo mafanikio..bruno "Man of the match" una mfananisha na Balllon'Dio WinnerWatu wanaongelea uwezo binafsi wewe unaleta mafanikio, unajua Man. Utd tukiongelea mafanikio ya timu huwa tunasemwa tunakimbilia historia na hivyo timu yetu mnai-consider kama timu ndogo at the same time kupitia uwezo wake wa sasa ila imekuja ishu ya Bruno na Luka umekimbilia kuwalinganisha kwa mafanikio na kuacha uwezo ambao ndiyo kipimo chenu pendwa cha ubora ila nashangaa hapa umebadili direction ili tu upate conclusion kuwa Luka ni bora kuliko Bruno.
Jaribu kuifanya nyeusi iwe nyeusi na nyeupe iwe nyeupe.




Rudi kwenu unatafutwa, kaka yako AronArsenal ameanza ukichaa huko.Kuna muda manyumbu yanajitoaga fahamu
Timu mbovu hamna cha kujadili hamia Chelsea mkuu.Duh, mjengo umepoa hivi kulikoni? .
Au kwakua hatuna mechi karibuni?
Tatizo ukifungwa huwa unakimbia mazimaTimu mbovu hamna cha kujadili hamia Chelsea mkuu.
Timu mbovu hamna cha kujadili hamia Chelsea mkuu.
Hii sasa umeshindwa kuifunga hapo OT halafu unasema hamna kitu???Hamna timu mule. Afadhali chelsea ya kina Duff, Carvalho na Joe Cole kidogo ilikua ya maana sio hii ya sasa.
Hii sasa umeshindwa kuifunga hapo OT halafu unasema hamna kitu???
Yani hizi takataka zimepata nguvu kwa sababu ya Intaneshno briki sasa zinaanza kuandika uharo![]()
Nyingi tu mkuuWewe huwa unaangalia mechi zipi za united ?
Box to box ni mfumo au aina ya midfielder mfano wa Fred?Midfielder sio lazima awe defensive ama attacking tu, Pogba anachezeshwa kama box to box (sawa na Timu ya taifa). Na ni katika nafasi hii ndio unapata quality zake zote ikiwemo long pass.
Still man u needs pogba,,ana vitu fulani mguuni ,nadhani tumpe mudaUjio wa VDB na BF,Imekua ni habari mbaya sana kwake zile mbwembwe alizompa Mau saivi hawezi maana replacement zake zipo tena zenye tija kwa timu.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tumpe muda gani tena?,it's five years now..ukiacha msimu wa 2018-2019 aliojitahidi kidogo,Pogba amekuwa sio mchezaji bora tunayetamani kumuonaStill man u needs pogba,,ana vitu fulani mguuni ,nadhani tumpe muda
Mfumo gani ambao Pogba hajachezeshwa msimu huu ?Nyingi tu mkuu
Pogba azungukwe na VDB na Juan Mata ?Box to box ni mfumo au aina ya midfielder mfano wa Fred?
Hakuna attacking midfielder ambaye ni box to box midifilder,,,
Pogba anapaswa acheze attacking zaidi ,acheze juu..
Akizungukwa na midfilders creative mfano wa Bruno na VDB au mata.
Nimeshuhudia mechi nyingi za united wakchezesha attacking midfilder mmoja tu ambaye ni Bruno pekee ,
chini yupo mactommy na Fred.
Martial
Rashford. Greenwood.
Bruno
Fred. Mactommy
Shaw. ,lindleof, magwea. Wbs
Degea.
Hapo pana attacking midifilder wangapi?
Ole akiona anazidiwa atamwingiza either VDB,,au pogba kurudi kwenye mfumo wa double attacking midifilders..
Kwann asiwaanzishe hao mmoja kati ya pogba au VDB?tuwe attacking zaidi?
Hatuwezi kuwa hatari zaidi kwenye eneo la adui kama tukiendelea kutumia mfumo wa double dmf.
Ukizingatia hatuna natural winger mfano wa Sancho..
Unategenea nn?
Fred na mactommy hawana pasi za mwisho za magoli,,sasa unategemea Bruno pekee ndy atengeneze nafasi?
Ole abadilike.