Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Vipi kwenye game na psg ?★Rashid Makame mala ya mwisho kunifurahisha msimu wa mwaka Juzisasa hivi hana maajabu★
Vipi kwenye game na psg ?★Rashid Makame mala ya mwisho kunifurahisha msimu wa mwaka Juzisasa hivi hana maajabu★
Huyu ni kocha mzuri sana consistency ya Southampton toka ameichukua inafikirisha sana.Nimeiona hii nikamkumbuka PTERS View attachment 1623027
Mnashuka daraja, niamini mm
Roy Keane alisema Arsenal kumfunga United imeshakuwa new Bayern Munich..kumbe ni utopolo tu,wanachoweza ni kupaki basi na kuotea vijinafasi vichache..Watu Arsenal wako wapi? Alafu kuonesha kwmb Arsenal kwetu co kitu wamefungwa na hatuwazungumzii![]()
Ralph ana kijana wake anaitwa Ward-Prawse,,anagonga mpira na faulu ile mbayaNimeiona hii nikamkumbuka PTERS View attachment 1623027
Soon tuu utajua hujuiTatizo huna akili timamu.
Ukipigwa konzi tu unasahu yote uliyo nena.
United isifanye makosa..hata ikija £25m tuchukue tuPaul Pogba "cannot be happy" with his situation at Man Utd, says France boss Didier Deschamps.
Full story: Pogba 'cannot be happy' at Man Utd #mufc https://t.co/hqLRLbGRGm
Jamaa anachomoa betri kila akienda Ufaransa.United isifanye makosa..hata ikija £25m tushukue tu
Jamaa pia kashapoteza ile influence aliyokuwa nayo hapo nyuma ndani ya United..ni muda sasa aondoke maana hata ubora wake hatujauona kwa level tulizozitaka..Jamaa anachomoa betri kila akienda Ufaransa.
Na kwa hali ilivyo asipobadilika atakalishwa benchi sana na kina Scot.
Jamaa pia kashapoteza ile influence aliyokuwa nayo hapo nyuma ndani ya United..ni muda sasa aondoke maana hata ubora wake hatujauona kwa level tulizozitaka..
Vipi kwenye game na psg ?
Paul Pogba "cannot be happy" with his situation at Man Utd, says France boss Didier Deschamps.
Full story: Pogba 'cannot be happy' at Man Utd #mufc https://t.co/hqLRLbGRGm
Umeelezea vzuri ila mwsho hyo conclusion cjui umetumia kigezo kipi.....umeleta takwimu za magoli sijui na assist tokea January....tusubiri msimu ukiisha na ndipo tuangalie stats na achievements zake....kuja moja kwa moja na kusema mchezaji bora na kwanza ni game week 8 cjui!!!!Bruno fernandes sasa amehusika moja kwa moja kwenye magoli 23 katika mechi 21 za Ligi Kuu, wastani wa golj kila dakika 76.6
Katika mashindano yote, amefunga goli 18 na kutoa assist 13 katika mechi 33 kwa chini ya mtaalam Ole Gunnar Solskjaer
ana assist 10 za Ligi Kuu tangu mechi yake ya kwanza, zaidi ya kiungo yeyote wa EPL
Tangu Fernandes alipocheza mechi ya kwamza Februari 2020, Mohamed Salah pekeake ndio mchezaji ndio anamzidi magoli na anagoli zaidi ya 13 kwa EPL
Licha ya ukawa kumuita mzee wa penati, Bruno amefunga goli saba(7) ya ligi yasio ya penati tangu aje Manchester.
Hakuna kiungo aliyefunga zaidi katika kipindi hicho sio De Bruine sio nani!
Akiwa na mabao 10 na assist 5, Fernandes anahusika kwenye goli nyingi kwenye mechi zake 10 za kwanza za EPL
Hiyo ni idadi kubwa kuliko mchezaji yeyote katika historia ya mashindano hayo yani hakuna mchezaji alie husika kwenye hyo idadi ya magoli kwenye mechi zake 10 za kwanza EPL,kuanzia ma striker mpaka makipa hakuna !!
Mbungi yake dhidi ya Everton ilimpa tuzo ya Man of match likua mara ya 5 Fernandes amepewa tuzo hyo toka kahamia England. Hakuna mchezaji aliyepokea zaidi yake tangu aje.
Bila kusahau kwenye picha huyo bwana ndio mchezaji alie tengeneza nafasi nyingi zaidi msimu huu 20,Kelvin De bruine anafatia ana 18
Bruno Fernandez ni mchezaji Bora EPL
UKIBISHA UWE NA FACT NA STATISTICS
#GGMU
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Rashford ana makosa mengi ya kiufundi hususan katika suala la pasi utakuta anamtoka mtu vzr lkn hyo pasi akayotoa unaeza kujiuliza huyu ni mchezaji wa utd kweli huyu.★Niliona ni kawaida tu ya kila Mshambuliaji tena hususani anaepewa nafasi katika kila mechi katika timu kutupia kambani ila kwa haya makosa mengi anayofanya anacheza na mipira kitoto anashindwa kuwa makini kufunga nafikiri hayo magoli alochezea yanaweza kuwa mengi kuzidi alofunga msimu uloisha★
Aondoke tu hamna shida, hatuwezi kuwa na mchezaji tunayehisi ni World class lkn kila siku ni madudu tu uwanjani.★Huyu nae maswala ya kusemeana yalishapitwa na wakati amuache yeye mwenyewe aseme kama kweli hafurahishwi kuwa pale OT★
ila Makame bana acha tumwamini hatuna namna★
Rashford ana makosa mengi ya kiufundi hususan katika suala la pasi utakuta anamtoka mtu vzr lkn hyo pasi akayotoa unaeza kujiuliza huyu ni mchezaji wa utd kweli huyu.
Mkuu kwa mtu wa soka yeyote yule hawezi kumtilia shaka Fernandes itakuwa ni jambo la aibu ktk soka, FYI Bruno anaanza ktk kikosi cha timu yoyote ile duniani c Bayern, Barca, Madrid Wala City, hakuna kiungo wa kumuweka benchi Bruno, we kaa alafu fikiria ni mchezaji gn wa kumuweka benchi Uncle Bruno.Umeelezea vzuri ila mwsho hyo conclusion cjui umetumia kigezo kipi.....umeleta takwimu za magoli sijui na assist tokea January....tusubiri msimu ukiisha na ndipo tuangalie stats na achievements zake....kuja moja kwa moja na kusema mchezaji bora na kwanza ni game week 8 cjui!!!!