Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno siku zote anafikiria kuhusu timu, ndio maana hata akiwa na mechi mbovu vipi bado ninakuwa upande wake
Fernandes: "I don't need to think about a hat-trick. [I set up Edinson Cavani because] for a striker it is important to score for his confidence, he will be important for us and the first goal will give him confidence." #muzone [bbc sport]
 
Cha ajabu hizi habari za Pochetino huwa zinaibuka Man united akifungwa tu.

Kibaya zaidi always ni Pochetino kama vile hakuna makocha wengine ambao wanauwezo wa kuchukua nafasi ya Ole.
ukiachana na matokeo ya msimu uliopita yaliopelekea kufukuzwa kwake, pochettino aliweza kuifanya spurs iwe ni timu ya ushindani kimatokeo ( consistent performance) kwa takribani miaka 5 isiyokuwa na bajeti kubwa ya usajili.

poche pia ana uzoefu mkubwa sana wa ligi kuu ya uingereza nakumbuka alianza kazi akiwa na southampton na alijenga timu nzuri sana pale, kivyovyote media za kiengereza hazitokuwa tayari kumpoteza mwanadamu mfano wake.
sijui ujio wake wa kati kati ya msimu utatufaidishaje(hilo ni swali linaloweza kujibiwa na wahusika wenyewe)
===================
hivi mechi yetu dhidi ya southampton iko mbali sana,
teh teh teh hiyo mechi itukute ole akiwa bado ni mwalimu wetu.
natamani kuiona comeback yake kuanzia tactics na matokeo dhidi ya mtaalamu asiyeimbwa Ralph Hasenhüttl.
1604844212601.png
 
★BBC | Edinson Cavani (33 years, 267 days) is the oldest player to score his first Premier League goal since Zlatan Ibrahimović in August 2016 (34 years 316 days)★

manutd |
 
★Maguire: “Sometimes it’s difficult for the lads but today we reacted really well to two poor results. We felt like we were on the right track after [the 5-0 win versus] Leipzig but we felt like we let ourselves down against Arsenal."★

manutd |
 
Rashford: "Following the game today [Saturday], I had a good conversation with the prime minister to better understand the proposed plan, and I very much welcome the steps that have been taken to combat child food poverty in the UK." #mulive [bbc]
 
Rashford: "The intent the government have shown today is nothing but positive and they should be recognised for that. The steps made today will improve the lives of near 1.7 million children in the UK over the next 12 months, and that can only be celebrated." #mulive [bbc]
 
ukiachana na matokeo ya msimu uliopita yaliopelekea kufukuzwa kwake, pochettino aliweza kuifanya spurs iwe ni timu ya ushindani kimatokeo ( consistent performance) kwa takribani miaka 5 isiyokuwa na bajeti kubwa ya usajili.

poche pia ana uzoefu mkubwa sana wa ligi kuu ya uingereza nakumbuka alianza kazi akiwa na southampton na alijenga timu nzuri sana pale, kivyovyote media za kiengereza hazitokuwa tayari kumpoteza mwanadamu mfano wake.
sijui ujio wake wa kati kati ya msimu utatufaidishaje(hilo ni swali linaloweza kujibiwa na wahusika wenyewe)
===================
hivi mechi yetu dhidi ya southampton iko mbali sana,
teh teh teh hiyo mechi itukute ole akiwa bado ni mwalimu wetu.
natamani kuiona comeback yake kuanzia tactics na matokeo dhidi ya mtaalamu asiyeimbwa Ralph Hasenhüttl.View attachment 1622196
Tutacheza nao November 29 tukitoka kwenye mechi yetu na Instanbul B tutakutana na Southampton wakiwa pale Saint James Park
 
"People don't want us to do well. Why? Probably because of the success we've had in the past." - Harry Maguire
Kama nalo lilikuwepo vile, yan anavyobana pua utasema yeye ni Jaap Stam, au nemanja vidic... Mwambieni kuna jela na gesti, so ajifunze kukaza mtoto wa kiume sio anatambia mafanikio ya wanaume
1599735830949.jpg
 
Back
Top Bottom