ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,491
- 2,477
hahahah. scot na bisaka walinifurahisha sana. hMamaeeee!!! Mara ya mwisho Michezo ya kihuni hivi ilikuwa inafanywa na Ferdinand na Vida!
hahahah. scot na bisaka walinifurahisha sana. hMamaeeee!!! Mara ya mwisho Michezo ya kihuni hivi ilikuwa inafanywa na Ferdinand na Vida!
Binafs leo shukrani zangu ziende kwa AWB, Degea, mac tomne pamoja na Tuanzebe.
Jamaa wamekichafua balaaa.
Wale wazee wa Alhamisi siwaoni leo.
Aisee kweli una furaha mpaka unanitukana.
Jamani nimepata tabu sanaUnajisikiaje?

Nimefuta kauli yangu jamaniNaona shekh Yahya hussein ume fufuka.

Nimefuta kauli yangu jamani★Ama kweli tumeuona Mkono Wake OLE GUNNAR SOLSKJÆR karibu MANCHESTER UNITED★

Nimefuta kauli yangu jamaniVipi tuendelee kuona?

Ole mitano tena.
★
Sijui wengine huwa mnaangalia mechi kutokea angle gani?
Nimefuta kauli yangu jamani
Nimepata tabu sana![]()
Ila una bahati haukuweka ahadi ya banNimefuta kauli yangu jamani![]()
mkuuu umeongea point lindelof amecheza vizuri sana, kuna kitu nimegundua jana na nikarud youtube kuangalia upya maguire huwa anakaba kwa kutegea sana ila lindelof anapambana all the time na kila mahari ila yeye ndo hulaumiwa, kingine maguire hayuko sawa anabid apumzike atulize akiliLindelof mmemsahau au ndio hana bahati yakusifiwa?
umenena vema jana amefanya nirud youtube kumwangalia maguire nkagundua maguire hayuko sawa
Kwanza Tuanzebe ana figure flani hv, pace na physique ya mabeki wa kiwango cha dunia.Mkuu Tuanzebe hukumuaona hata kidogo?
RashfordMBE ndo nani mkuu.
SahihiKwanza Tuanzebe ana figure flani hv, pace na physique ya mabeki wa kiwango cha dunia.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hii rating asee,kwamba kwa kule nyuma tuanzebe ndio ana rate ya chini kuliko wote au kwa sababu ya kadi!?