DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Angle hiiSijui wengine huwa mnaangalia mechi kutokea angle gani?
Angle hiiSijui wengine huwa mnaangalia mechi kutokea angle gani?
Nyau weweNaona Dully Jr ana chungulia na mbichwa wake utafikili kalai la mihogo.
Kwanza Tuanzebe ana figure flani hv, pace na physique ya mabeki wa kiwango cha dunia.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Dah kweli ushabiki ni hatari,Nyau wewe
Ndio wa nyie chenga nyingi magoli 0.
Manchester PENALTI
Alikula ban mkuu , ndo maana kaja na Id mpyaPapaa GX kwenye ubora wako.
Mkuu na kuomba rudisha ile I'd yako.
Maana kupitia I'd ile ulikua unajua kunya bila kuchamba.
Yani ushindi mmoja sa man u makelele mtindo mmoja
Mbona mwanzo mlikuwa hamlisemi hili badala yake mlikuwa mnasema Ole hana mbinu?mkuuu umeongea point lindelof amecheza vizuri sana, kuna kitu nimegundua jana na nikarud youtube kuangalia upya maguire huwa anakaba kwa kutegea sana ila lindelof anapambana all the time na kila mahari ila yeye ndo hulaumiwa, kingine maguire hayuko sawa anabid apumzike atulize akili
Hakucheza vizuri kuliko Lindelof na ShawHii rating asee,kwamba kwa kule nyuma tuanzebe ndio ana rate ya chini kuliko wote au kwa sababu ya kadi!?