Manchester United (Red Devils) | Special Thread

De Gea wacha tu
PSX_20201021_003422.jpg

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Kuna tabia ipo UEFA, timu moja ikipindua meza na nyingine zinafuata mkumbo.

Naona hii ni wiki ya underdogs kushangaza watu.

Kaanza man u jana. Leo Shakhtar Donetsk anamuadhibu Madrid, dk y 40+ tayari Madrid anaongozwa tatu bila.

Nawasubiri Atletico na Ajax
 
Madrid hana jipya uefa toka aondoke ronaldo.....
 
Kuna tabia ipo UEFA, timu moja ikipindua meza na nyingine zinafuata mkumbo.

Naona hii ni wiki ya underdogs kushangaza watu.

Kaanza man u jana. Leo Shakhtar Donetsk anamuadhibu Madrid, dk y 40+ tayari Madrid anaongozwa tatu bila.

Nawasubiri Atletico na Ajax
We jamaa lazima timu yako itakuwa inacheza futuhi tu yani Man U ni underdog
 
Kuna tabia ipo UEFA, timu moja ikipindua meza na nyingine zinafuata mkumbo.

Naona hii ni wiki ya underdogs kushangaza watu.

Kaanza man u jana. Leo Shakhtar Donetsk anamuadhibu Madrid, dk y 40+ tayari Madrid anaongozwa tatu bila.

Nawasubiri Atletico na Ajax
Huenda na Arsenal nao wakapindua meza
 
Back
Top Bottom