Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

anafunga akiwa wapi?

huyu dogo wa Jana at least anaonyesha mwanga na umri wake mdg ule half yy Ni multifunctional uwanjani tofaut na Chong. Chong uchezaji wake unahitaji alishiwe kila kitu, anatumia mguu wa kushoto lakin hawezi kuutumia anakua mzito sana, pale Hamna future
Chong ni mchezaji Ole alipaswa kumtrain aongeze physicality tu.

Halafu Chong siyo kwamba anacheza nafasi moja tu anacheza flanks zote kulia na kushoto na anaweza kucheza kama attacking midfielder pia.

But yote kwa yote unawezaje kutumia miezi 3 kutafuta mchezaji wa miaka 18 ambaye hajacheza kwenye senior timu hata mara moja ?

Hebu tuwe wakweli kwenye hili hivi United inahitaji kufanya usajili wa mtoto wa miaka 18 aje direct kikosi cha kwanza?

Kwenye academy tulikuwa na wachezaji watatu wanaoweza kucheza right wing why tuwatoe kwa mkopo halafu tukasajili watoto wengine ??

Huu ni upuuzi

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Man Utd kwanini hawakujaribu kumsajili Suarezi?

Siamini kama wangekuwa serious Liverpool connection ingezuia asisajiliwe.

Point ninayoona hapa ni kuwa United kila kitu wanafanya kidharura, United chini ya Sports Director Ed Woodward ni majanga kwenye transfer business
Cavani ni PSG top scorer of all times,,
Cavani ni top scorer world class...
Hajifunzi bali ana experience..
Martial hana sifa za centre forward.. Martial ni attacker,, left wing..
Labda huyo ole azinguwe..lakini kocha kama morinho ,,diego simion haumizi kichwa kumchaguwa cavani over martial..
 
Man Utd kwanini hawakujaribu kumsajili Suarezi?

Siamini kama wangekuwa serious Liverpool connection ingezuia asisajiliwe.

Point ninayoona hapa ni kuwa United kila kitu wanafanya kidharura, United chini ya Sports Director Ed Woodward ni majanga kwenye transfer business
Na hili ameshaprove several times kwamba hawezi kufanya transfer.

Naamini hata Donny aliyefanya usajili ni Van De Sar

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Masmilliano Allegry ndiyo kocha pekee aliyeko sokoni anayeweza kuifundisha united na kuipa mafanikio.

Ameprove katika vilabu viwili vikubwa duniani kuwa he is capable of doing the job.

Tatizo lililopo United usajili unaofanywa na Bodi hata kama kocha angekuwa na cv kubwa kiasi gani hawezi kufanikiwa kwa sababu hatapewa mahitaji wanayoyataka.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa simkubali hata kidogo.
 
Ndio hivyo

Unaambiwa Van De Sar alimpigia Simu Ole, kwamba VDB yupo tayari kujiunga nao, akawaambia na dau ambalo Ajax wapo tayari kupokea (leave it or take it)

United akamsajili within a week
Na hili ameshaprove several times kwamba hawezi kufanya transfer.

Naamini hata Donny aliyefanya usajili ni Van De Sar

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ndio hivyo

Unaambiwa Van De Sar alimpigia Simu Ole, kwamba VDB yupo tayari kujiunga nao, akawaambia na dau ambalo Ajax wapo tayari kupokea (leave it or take it)

United akamsajili within a week
Kwa sababu kama Van De Sar angeweka counter offer united wangekuwa bado hawajasajili midfielder.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Watu mko hapa mnasema kwa hizi sajili alizozifanya basi hana kisingizio ni kuleta makombe. Huyu mtu amemleta Donny na anastruggle atamuaccommodate vipi ili acheze.

Imepelekea aswitch kutoka 4 3 3 mpaka 4 2 3 1. So hawa wapya waliokuja means bado homework kwake inaendelea, waweza sema kwa LB atatolewa Shaw (Hii ni rahisi) waliobaki je?

Mimi naona bado yupo kwenye dilemma ya kuiunganisha timu icheze as a unit. So ndiyo atakutana na Arteta huku bado hajui kipi kinaifaa zaidi timu yake?
 
Traore ana uwezo mkubwa kuliko Chongy ila tulipaswa kusajili established winger na sio one for the future
Kule tunahitaji mchezaji ambaye ameshaprove kucheza siyo anayetokea academy.

Sasa tulimuondoa Chong wa nini kama tunasajili mchezaji mwenye umri mdogo kuliko hata yule tuliyemuondoa ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom