Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

unaonekana ni mfuatiliaji mzuri wa LIGUE 1.
takwimu zake za kiafya zipoje
unadhani kwa nini mashabiki wengi wanamfananisha na falcao ajaye?
1..anatokea america kusini..
Wachezaji wengi kutoka America kusini hawatambi man u.mfano Sebastian veron,,Pereira, demaria,Alex Sanchez.
2.. Atavaa jezi no 7 ambayo ilivaliwa na Alex Sanchez.
3. Anacheza no 9 kama falcao.
Alipotoka hapo PSG hakuwa majeruhi bali ni mfumo wa kocha na ujio wa neyma na icard ndy ulimuweka bench ,
Anataka ku prove PSG wrong.
Hayo yanayosemwa mengine ni maneno ya watabiri .
Takwimu zinasema 2019/2020 amecheza mechi 14..
Ameanza mechi 7..
Ana goli 4 asisst 7..
Bado ni PSG top scorer of all times.. Ni mchezaji mfano wa Ibrahimovic.
 
kumbe huyu falcao cavani hajacheza soka takribani miezi 7
au nadanganywa?
Hujadanganywa.

Pale PSG alikua benchi kutokana na uwepo wa Mbappe. Alivyokuja Icardi akazidi kusahauliwa.

Akahusishwa na Atletico wiki kadhaa kabla Atletico hajamtoa Liva ucl. Dili halikufanikiwa, akaachwa kwenye kikosi akawa free agent.

Ila Man U ina mikosi na waSouth America.
 
Man Utd kwanini hawakujaribu kumsajili Suarezi?

Siamini kama wangekuwa serious Liverpool connection ingezuia asisajiliwe.

Point ninayoona hapa ni kuwa United kila kitu wanafanya kidharura, United chini ya Sports Director Ed Woodward ni majanga kwenye transfer business
Suarez na martial uchezajj wao unafanana,,
Hata kwenye kikosi cha Uruguay Suarez anacheza pembeni na cavani amepewa jukumu la mauaji no 9..
Man u walikuwa wanatafuta no 9..
 
Amecheza mechi 4 senior football

Lakini pia mbona wengine (mimi nikiwa mmoja wapo) tulikuwa tunasema Greenwood ana uwezo mkubwa kabla hajacheza senior team na sasa anaonesha huo uwezo

Mchezaji kuonesha uwezo sio lazima a shine kwa wakubwa

Lakini point yangu ya msingi tulipaswa kusajili mchezaji ambaye yupo tayari kuliko hao madogo (yaani kwa mfano kwa msimu huu tungesajili Sancho the one for the present, na Amad the one for the future)
Hajacheza senior timu huo uwezo mkubwa mnauona wapi ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Achana na Uruguay ambapo kwa mwaka anaweza kucheza mara 5 tu, vipi pale Barca Suarez alikuwa anacheza namba ngapi?

Vipi pale Atletico sasa hivi anacheza namba ngapi

Mimi sina mashaka na uwezo wa Cavani uwanjani, nina mashaka makubwa na injury record yake
Suarez na martial uchezajj wao unafanana,,
Hata kwenye kikosi cha Uruguay Suarez anacheza pembeni na cavani amepewa jukumu la mauaji no 9..
Man u walikuwa wanatafuta no 9..
 
kumbe huyu falcao cavani hajacheza soka takribani miezi 7
au nadanganywa?
Hii recruitment ya united ina matatizo tumesajili South Americas watatu wakati hawana historia ya mafanikio united.

Ndiyo maana nasema huu usajili tuliofanya ni upuuzi.

Hii inakwenda kumucost Ole moja kwa moja.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nafahamu mkuu, ni vile mpira wake huwa siuelewi.

Au tumchukue Sarri nae hana timu na ana makombe(mawili)
teh teh teh
sarri atatulete jorginho
====================
  • timu yetu sera ya uvumilivu hatuiwezi kuanzia mashabiki hadi bodi.
  • sera ya recruitments hatuiwezi(hatujui target zetu)
  • kinachowekezwa kwenye soka hakitabiriki (bajeti inasuasua ila dividends kwa shareholders wakuu ni uhakika)
kama tunahitaji mpira wenye muelekeo in term of philosophy (matokeo tutayajua mbele kwa mbele)
  1. Julian Nagelsmann = Leipzig
  2. Mauricio pochettino
  3. Ralph Hasenhüttl = Southampton
  4. Joachim low = Germany
  5. Carlo Ancelotti = huyu nilimpendekeza tokea mwanzoni tumpe timu halafu baadae tumfukuze (ni rahisi sana kumuachisha kazi huyu mzee pindi anapomaliza kuifanya shughuli yake)
tukihitaji matokeo hawa wameshathibitisha
  1. Diego Simeone
  2. Massimiliano Allegri
  3. roberto mancini
 
Ubora wa mfungaji inategemea anacheza na nani ,
EPL Ni ligi bora na ngumu duniani..
Siku hizi hata demaria na falcao huko walipo wanafunga hatari.
Ndiyo uelewe sahihi heri huyo Chong ameshazoea mazingira epl kuliko hao watoto wadogo.

Tusitetee upuuzi huu usajili tuliofanya ni upuuzi hautatusaidia chochote.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Amecheza mechi 4 senior football

Lakini pia mbona wengine (mimi nikiwa mmoja wapo) tulikuwa tunasema Greenwood ana uwezo mkubwa kabla hajacheza senior team na sasa anaonesha huo uwezo

Mchezaji kuonesha uwezo sio lazima a shine kwa wakubwa

Lakini point yangu ya msingi tulipaswa kusajili mchezaji ambaye yupo tayari kuliko hao madogo (yaani kwa mfano kwa msimu huu tungesajili Sancho the one for the present, na Amad the one for the future)
Si bora tumwachie Greewood acheze huko kulia kuliko kutumia milioni 30 kununua mtoto ambaye hatacheza !!!?

Hii United imeshafikia hatua ya Arsenal Wenger ya kusajili kina TAKUMA

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
teh teh teh
sarri atatulete jorginho
====================
  • timu yetu sera ya uvumilivu hatuiwezi kuanzia mashabiki hadi bodi.
  • sera ya recruitments hatuiwezi(hatujui target zetu)
  • kinachowekezwa kwenye soka hakitabiriki (bajeti inasuasua ila dividends kwa shareholders wakuu ni uhakika)
kama tunahitaji mpira wenye muelekeo in term of philosophy (matokeo tutayajua mbele kwa mbele)
  1. Julian Nagelsmann = Leipzig
  2. Mauricio pochettino
  3. Ralph Hasenhüttl = Southampton
  4. Joachim low = Germany
  5. Carlo Ancelotti = huyu nilimpendekeza tokea mwanzoni tumpe timu halafu baadae tumfukuze (ni rahisi sana kumuachisha kazi huyu mzee pindi anapomaliza kuifanya shughuli yake)
tukihitaji matokeo hawa wameshathibitisha
  1. Diego Simeone
  2. Massimiliano Allegri
  3. roberto mancini
Kwa makocha waliopo epl kwa sasa ni

1. Nuno Espirito Santo
2. Ralph Hassenhutl

Hawa wanafaa kuitumikia united wanaphilosophy inayoeleweka.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom