Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Its official
 

Attachments

  • Screenshot_2020-10-05-20-39-36-94.png
    Screenshot_2020-10-05-20-39-36-94.png
    91.8 KB · Views: 5
Binafsi nimeshuhudia games chache sana ambazo tumeshinda kwa ushawishi wa kucheza mpira mzuri na wa mipango,tofauti na hapo tumekuwa tukipata bahati zaidi kuliko weledi wa kocha.
Na tatizo letu tangu msimu uliopita limekuwa lile lile la kushindwa kutoboa ngome ya timu inayocheza lowblock kwenye ulinzi lakini Ole hajawahi kubadili mbinu.
#OLEOUT
Hakuna cha rebuilding. Tunapoteza muda tu.

Benchi la ufundi lote upuuzi mtupu. Carrick na Phelan ni weupe.
 
richest clubs in the world ...Man utd ni ya 3, everton ni ya 19..

una hela nyingi lakini haikusaidii au hauitumii ipasavyo

man utd watavuna walichopanda
Huo ni utajiri wa Asset na thamani ya timu unaosema wewe, wanahesabu thamani za uwanja, wachezaji, deals za club etc

Niliokutajia mimi ni kiasi Ambacho club imetumia kusajili, Everton wana Bilionea ana mpunga mrefu wametumia hela nyingi kusajili. Wametumia pound milioni 500 toka Aje huyo mmiliki. Wana wachezaji kibao ambao wamewanunua zaidi ya pound milioni 30, hivyo si club ndogo kama unavyofikiria unless unaongelea mazoea. Same kwa Aston Villa, mpunga wa kutosha wamemwaga.
 
Back
Top Bottom