Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,096
Ilitoka habari kuwa alinunuliwa kisha akarudishwa kwa mkopo Partizan.Mkuu mbona huyu Filip stevanovic nasikia hatukumsajilia japo wanasema alibaki Partzan kwa mkopo
Ilitoka habari kuwa alinunuliwa kisha akarudishwa kwa mkopo Partizan.Mkuu mbona huyu Filip stevanovic nasikia hatukumsajilia japo wanasema alibaki Partzan kwa mkopo
Ha ha ha ni kama dirisha halijafungwa hiviHuyo Pelestri ndiyo winger wa kulia tuliyemsajili ?
Mimi hata sielewi elewi hili dirisha lilivyofungwa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
sijawahi kuangalia video zake ila inavyosemekana ni winga wa kuliaHuyo Pelestri ndiyo winger wa kulia tuliyemsajili ?
Mimi hata sielewi elewi hili dirisha lilivyofungwa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
wewe Mara ya mwisho kufika final uefa ilikua lini?Asije
Pale Spurs kafanya lipi la maana zaidi ya kufika fainali UCL
Hana hata kikombe cha Carabao
Asije
Pale Spurs kafanya lipi la maana zaidi ya kufika fainali UCL
Hana hata kikombe cha Carabao
Tuache mengine yote tulihitaji a proven right wing siyo hawa watoto wakuokoteza kusikojulikana.sijawahi kuangalia video zake ila inavyosemekana ni winga wa kulia
cha kuchekesha tokea mwezi wa saba tumekuwa tukivumishiwa kumuhitaji ila dili lake limekamilishwa siku ya mwisho.
na muandishi wa hii habari ni chanzo cha uhakika
View attachment 1591805
===============
Andy Mitten is the editor of the acclaimed United We Stand magazine. He also writes for The Independent, and contributes to numerous radio and TV stations on United issues. His great uncle, Charlie Mitten, played for United in the 1930s and 40s.
Yaani timu kubwa hivi inafanya usajili wa kuokoteza kama huu??Ha ha ha ni kama dirisha halijafungwa hivi
Usajili wa watoto na wazee.
Hii recruitment ya united ina makengeza hii
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Tuache mengine yote tulihitaji a proven right wing siyo hawa watoto wakuokoteza kusikojulikana.
It means hapa tunafanya usajili patapotea tu ili kujivua lawama kuwa bodi haijafanya usajili.
What a shame!!!
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
wewe Mara ya mwisho kufika final uefa ilikua lini?
Masmilliano Allegry ndiyo kocha pekee aliyeko sokoni anayeweza kuifundisha united na kuipa mafanikio.Allegri je?
Sasa mchezaji unamsajili halafu umwache kwa mkopo hii ni akili au matope ?Huyo Amad Traole kwa nilichokiona kwenye video zake basi sancho tunaweza kuachana nae tukaendelea kuchek mtu mwingine wa bei chee ni mzur sana tena sana kama anachokionesha kikaendelea had kwenye hii timu.
option ya uhakika ilikuwa ni jadon sancho ila bajeti hatukutaka itoshe(sijui pesa inapelekwa wapi), klabu imetumia takribani paundi millioni 100 kwa wachezaji watano(hela ambayo ilipaswa itumike kwa usajili wa sancho pekee)Tuache mengine yote tulihitaji a proven right wing siyo hawa watoto wakuokoteza kusikojulikana.
It means hapa tunafanya usajili patapotea tu ili kujivua lawama kuwa bodi haijafanya usajili.
What a shame!!!
Huyu naafiki......Allegri je?
Tuache kujivisha matumaini hewa Dimaria halikuwa hitaji la Mwalimu.Mkuu christiano ronaldo tulimpata huku wakina di maria wamepita hapa wakiwa moto tumetoka kapa
nafikiri tatizo ni kibali cha kaziSasa mchezaji unamsajili halafu umwache kwa mkopo hii ni akili au matope ?
Si heri wangemwacha Tahit Chong ?
Bodi imefanya usajili wa kujivua lawama tu ili wamfukuze Solkjaer vizuri.option ya uhakika ilikuwa ni jadon sancho ila bajeti hatukutaka itoshe(sijui pesa inapelekwa wapi), klabu imetumia takribani paundi millioni 100 kwa wachezaji watano(hela ambayo ilipaswa itumike kwa usajili wa sancho pekee)
walichokifanya board ni kutuonjesha maziwa ya mtindi.
Tunanunuaje mtoto wa miaka 18 wakati hata kwenye academy tumewatoa watoto watatu wenye uwezo wa kucheza right wing ?nafikiri tatizo ni kibali cha kazi
Masmilliano Allegry ndiyo kocha pekee aliyeko sokoni anayeweza kuifundisha united na kuipa mafanikio.
Ameprove katika vilabu viwili vikubwa duniani kuwa he is capable of doing the job.
Tatizo lililopo United usajili unaofanywa na Bodi hata kama kocha angekuwa na cv kubwa kiasi gani hawezi kufanikiwa kwa sababu hatapewa mahitaji wanayoyataka.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Scouting ikifanya kazi yake nayo shida..tukitoa £120m kwa Sancho nayo shida..Mkuu christiano ronaldo tulimpata huku wakina di maria wamepita hapa wakiwa moto tumetoka kapa