BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,628
- 19,810
Leo mambo sio mambo mmekuwa coastal union yenye wazunguWith Man U you'r always happy
Leo mambo sio mambo mmekuwa coastal union yenye wazunguWith Man U you'r always happy
😂😂hawaelewi elewi hivi🤣Man U Bado wanajadili kipigo cha Leo.
Tatizo hata Mourhnio walisema hivyo hivyo. Kosa la OGS ni kumpanga Pogba kama defensive midfielder badala ya attacking midfielder.Mimi tatizo naloliona law Ole ni lassez affair attitude tu wachezaji wanamchukulia kama msela wao tu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Psg tu watafungwa hizo nyingine zipo sare kwa Chelsea na Arsenal na Leicester wataifunga hawajachoka hivyoKwa mechi zinazokuja baada ya International Break, yani PSG, CHELSEA, RB LEI, ARSENAL Ole hatashinda mechi hata moja hivyo lazima ataondoka tu iwe iweje!
Na-save hii comment kwaajili ya reference
Magwaya ni uchochoro kiwango cha fifa kabisa, kinachomfanya asizungumziwe sana ubovu wake ni bei aliyonunuliwa,Kwahiyo mkuu ilikuwa
Goli la kwanza: magwaya anamkaba shoo
Goli la pili: magwaya anamkaba shoo
Goli la tatu: magwaya anamkaba shoo
Goli la nne: Magwaya anamkaba shoo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi imani yangu kwa Ole siyo kutokana na u legend wake mkuu.Kwa mfano Ole angekuwa sio legend wa Man U bado ungekuwa na imani nae.
dalot ameondoka, tafsiri yake ni kwamba brandon williams anarudishwa upande wake wa asili (beki wa kulia)Natamani Brandoni asiondoke acheze kulia.....
Tatizo lako kubwa wewe ni kutafuta Excuse kupitia timu za wengine, Huwezi kujenga hoja bila kuitaja Manchester city au Liverpool
"Football bloody hell" sir Alex Ferguson.
Huyu liverpool anasaidia kubeba manyanyaso yetu wiki hii.
Mkono mmoja tayari