Magwaya ni uchochoro kiwango cha fifa kabisa, kinachomfanya asizungumziwe sana ubovu wake ni bei aliyonunuliwa,
Lindelof amebeba sana mzigo huu wa lawama nadhani leo ameutua kabisa, kwa sababu Huyu maguire kuna mpira mmoja kaenda kukaba, akamuelekeza shaw kwenda kumkaba mtu mwingine halafu akasahau kubana miguu, ikapigwa pasi kwenye kipago chake ikamkuta son akaweka kamba, maguire ni mzurulaji tuu uwanjani anakabia macho, then akikutana na mipira iliyimjia vizuri ndo anachukulia point, jamaa ni flopu flopu😡 anafanya mistake nyingi sana huyu panya magwaya