Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo Evra ananikosha sana, anazungumza maneno ambayo kina Beckam, GNeville, scholes, Giggs, Ferdinand hawawezi kuyatamka
Screenshot_20201004-211538.jpeg
 
Kitu ambacho hawajajua wenzangu au mm ndio sijui nilikiona muda mrefu sana bruno fernandez alikuwa akicheza vizur sana na timu ilikuwa sawa kipindi pogba anaumwa lakin aliporudi tu kila kitu kikaanza kuwa hovyo ina maana pogba na bruno kucheza kwa wakat mmoja haiwezekani lazima mmoja akae bench
Hata pogba asipocheza bado tm haionekani kuwa fit.
 
Hivi kweli kabisa, una Pogba, Fernandes, Bissaka, VDB, DJ, Greenwood, Rashford, De Gea na bado unaamini anayefanya msishinde ni Woodward kwa kutokumsajili Sancho! Kwa kutokumsajili Telles!

Huwa mnawaza kwa kutumia nini wazee??

Ile pale Arsenal mkiiweka individually na wachezaji wenu hao ni nani superior? Kati wanamweka Xhaka, Elneny na kina Niles na nyie kati tu mna Pogba, Fernandes na VDB, yet wamebeba trophies! Achilia mbali usajili wao wa kusuasua mara mia ya kwenu.

Na bado unakaa kuamini sababu ni Woodward hatoi pesa. Woodward aliyetoa kifusi kumnunua Maguire, Fernandes, na VDB. Au ni mpaka atoe pesa kila anapoombwa ndo walau mfike nusu fainali?

Yani kabisa unabeba kichwa kinachoamini Manchester hii ni mpaka imsajili Sancho, Haaland, Telles na wengineo ndo iweze kudominate ikicheza na timu kama Brighton na Crystal Palace achilia mbali kushinda! ... unabeba kichwa kinachoamini ni mpaka msajili heavily ndo muweze ku-throw off stiff competition!

Basi hiko sio kichwa bali kifuniko cha shingo.

.
 
Hivi kweli kabisa, una Pogba, Fernandes, Bissaka, VDB, DJ, Greenwood, Rashford, De Gea na bado unaamini anayefanya msishinde ni Woodward kwa kutokumsajili Sancho! Kwa kutokumsajili Telles!

Huwa mnawaza kwa kutumia nini wazee??

Ile pale Arsenal mkiiweka individually na wachezaji wenu hao ni nani superior? Kati wanamweka Xhaka, Elneny na kina Niles na nyie kati tu mna Pogba, Fernandes na VDB, yet wamebeba trophies! Achilia mbali usajili wao wa kusuasua mara mia ya kwenu.

Na bado unakaa kuamini sababu ni Woodward hatoi pesa. Woodward aliyetoa kifusi kumnunua Maguire, Fernandes, na VDB. Au ni mpaka atoe pesa kila anapoombwa ndo walau mfike hata nusu fainali?

Yani kabisa unabeba kichwa kinachoamini Manchester hii ni mpaka imsajili Sancho, Haaland, Telles na wengineo ndo iweze kudominate ikicheza na timu kama Brighton na Crystal Palace achilia mbali kushinda! ... unabeba kichwa kinachoamini ni mpaka msajili heavily ndo muweze ku-throw off stiff competition!

Basi hiko sio kichwa bali kifuniko cha shingo.

.
Man u safiiiiiiii!!!
 
Ole hana tatizo kubwa sana kulinganisha na waliopita.,tatizo lake ni mfumo aliokuwa anautumia,,,akaona lukaku ni mzito,,apewe majukumu martial,,
Martial jukumu la no 9 haliwezi,,
So akija cavani tutacheza na mfumo .mwingine kabisa..
Martial atarudi left...cavani center forward...
Unatumia mfumo usiokupa matokeo, hiyo ni akili?

Wewe umefaidika nini na mfumo wa Ole?
 
Back
Top Bottom