Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MOU alidhihakiwa, akaonekana hajui na mbinu zake zimepitwa na wakati. Akaja Olesendeka, aliyeonekana ni kocha wa kizazi kipya, mbinu za kisasa
Sasa kweli lile goli la nne typical ni ubovu wa kocha na timu yake.

Na huyo Magawa sijui anacheza disko tena la kizee
 
Jamaan eeh kiukweli ni red card ndo imesababisha yote haya,ofcoz beki za haki hazijatulia lakini all n all ni red card,tusiwe na mioyo myepes namna iyo,just a game,man city alipigwa TANO na leiceter bila red card,na maisha yanaendelea.
Braking news TELLES deal done,cavan atatusaidia,na may b tutapata RW,cmoon mates,is our team ,
 
Aisee kweli kwa mwendo huu 30 years nimeanza kuiona halina ubish kwa sababu gani usajili unaofanywa unaweza kusema unaziba sehem fulan baadae panatoboka kwa hiyo hamna kusonga mbele mnarudi tena kutafuta bek bek lain ya united imekula hela san
Hata Liverpool baada ya 1990 alianza hivyo hivyo mzaha mzaha hadi miaka 30 ikapita. Poleni sana watani
 
Kutesa kwa zamu.
Zamu yenu imeshapita
Subirini miaka 30
Nadhani wewe ni mgeni JF.
Tumekuwa humu toka 2006 enzi wakati JF inaitwa Tanzatl.org

Angalia nimejiunga lini hapo halafu uje ukoment tena hiii ni acount yangu ya pili ya kwanza 2012
 
pundamilia anarudishwa mbugan
IMG-20201004-WA0006.jpg
 
Tatizo lako kubwa wewe ni kutafuta Excuse kupitia timu za wengine, Huwezi kujenga hoja bila kuitaja Manchester city au Liverpool

Mawazo yako hakuna mahali pana hayo mambo unayokimbilia na mwenzio mlipigwa tatu na watfod watu waliuliza bei ya vvd? Kuna muda mpira sio pesa ni mbinu msikimbilie kujaji bei
 
Back
Top Bottom