Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Mkuu hata sijui nikujibu nini maana naona bado hutaelewa. Sijajua hata concept ya dynamic na fluid strikers unaielewa vipi.Mkuu martial sio natural centre forward.martial ni winger,,alikuwa anachezeshwa pale no 9 sababu mwenye uwezo huo pale man u hakuwapo,,
Ni sawa na Brandon William kucheza left back ,lakini ni natural right back.
Martial atagombea namba na rashford,, au greenwood na sio cavani,,
Hivi unaweza ukasimamisha mishipa ya shingo kutetea kumchezesha martial centre forward over cavani?
Labda nikwambiye kitu,,hata ile match ya uefa finally PSG na bayan ile match PSG mbape na neyma wameigharimu timu sababu ya utoto wao,,angekuwa huyo sniper cavani basi leo kombe lingekwenda Paris...
Cavani hategemei mfumo wa cross pekee ,,yule ni sniper,, finisher,,attacker,,goal scorer,,natural no 9 na sio wa kuunga unga,,
He was made to score goals,,na sio kingine..
Unakuja kutuaminisha habari za ighalo,,kwani cavani level ya ighalo?
Wakati wewe unasema cavani anakuwa back up ya martial,, mwenzio ole anaongea vingine..
Usimfananishe cavani na vitu vya kipuuzi.View attachment 1589683
Kama juu mkuu peter alivyokuambia unapocheza na striker Design ya Cavani unahitaji watu wa Kumzunguka wanaoweza kumlisha kutokana na uwezo wake, mfano kwetu ni kama Dan James, cavani anaweza hata funga Goli 40 Man utd, sikatai naujua Uwezo wake, ila si mtu sahihi kwenye mfumo huu tunaocheza unless ni Backup striker.
Labda Kidogo Bruno ni smart Anaweza kuchange Game yake, ila wanaoanza kina Rashford na Greenwood watapata Service nzuri zaidi kwa Martial kuliko Cavani.
Huyo jamaa, usihangaike nae.