kama unafikiri cavani anakuja kuchukua namba ya martial nakupa pole. huyo anakuja kumpokonya namba ighalo as plan B, mfumo wa Ole upo wazi anataka fluid na Dynamic strikers, sio mtu wa kukaa mbele.
na anakuja kulishwa na winga gani pale united? na full back yupi? unategemea greenwood ama rashford ampigie cross cavani? Usajili unaomake sense alitakiwa aje Telles kwanza specialist wa hayo majaro kabla ya kumleta cavani.
huu usajili upo against mambo yote ambayo tumepigania kama timu, na naona tunarudi nyuma kama msimu wa mourinho anafukuzwa ama lvg alivyoingia top 4, Targets za Kocha hazifuatwi na tunaanza kulipa hela nyingi kwa vitu visivyo na maana, sasa hivi utasikia kina greenwood na wao wanataka mshahara kama Cavani aka sanchez effect part 2.
Mkuu martial sio natural centre forward.martial ni winger,,alikuwa anachezeshwa pale no 9 sababu mwenye uwezo huo pale man u hakuwapo,,
Ni sawa na Brandon William kucheza left back ,lakini ni natural right back.
Martial atagombea namba na rashford,, au greenwood na sio cavani,,
Hivi unaweza ukasimamisha mishipa ya shingo kutetea kumchezesha martial centre forward over cavani?
Labda nikwambiye kitu,,hata ile match ya uefa finally PSG na bayan ile match PSG mbape na neyma wameigharimu timu sababu ya utoto wao,,angekuwa huyo sniper cavani basi leo kombe lingekwenda Paris...
Cavani hategemei mfumo wa cross pekee ,,yule ni sniper,, finisher,,attacker,,goal scorer,,natural no 9 na sio wa kuunga unga,,
He was made to score goals,,na sio kingine..
Unakuja kutuaminisha habari za ighalo,,kwani cavani level ya ighalo?
Wakati wewe unasema cavani anakuwa back up ya martial,, mwenzio ole anaongea vingine..
Usimfananishe cavani na vitu vya kipuuzi.