Martial anafunga lakini sio completed no 9..
Striker gani anapiga kichwa kafumba macho?
Striker anaogopa kujirusha?
Striker hapambani ?
Kama ni kufunga hata Fernandez anafunga nae ni no 9 ?
Mo sala anafunga sana nae ni 9 ?
Martial hana sifa kamili za center forward kama Kane,cavani,Diego Costa.lewandosky,,
Hebu nihesabie ktk magoli hayo aliyefunga martial ni magoli mangapi kafunga kwa kichwa?
Sasa striker gani hapigi kichwa?ukimzuia kupiga basi goli hakuna,,
Sifa ya no 9 kwanza mzuri kwa header,,na kushoot..
Kona utafungwa na faulo utafungwa..