The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Martial ana nyota ya kupendwa hata mm ilinichukua muda mrefu kuamini kwamba hana lolote, jamaa yng mmoja kila akiniambia hamna kitu mule nikawa nakataa akaniambia anza kumfuatilia angalia movement zake angalia anavyopoteza mipira kirahisi, zen angalia anavyokosa magoli.Wachambuzi maandazi pekee ndy wanaomtetea martial,,
Martial ni mchezaji mzuri,,,ni mfungaji pia,,lakini anakuwa bora kabisa akitokea pembeni,,,
Pale no 9 zina wenyewe, watu wa kazi,,,,,ndy maana ktk prediction yangu ya ma u,,huwa namuweka kama left wing...ni hatari sn akiwa upende ule,,martial ni mmoja wa wachezaji ninaowapenda kabisa man u,lakini kwa no 9 atatukosesha makombe..
Baada ya hapo nikaanza kumfatilia nikagundua maneno ya Roy Keane juu ya Martial ni kweli kabisa na tangu hapo ckuwa namuelewa kabisa yn Martial hapaswi kuanza kikosi cha Utd ni lazy boy sn.
