Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo jamaa ni hatari sana mkuu,,mm nimemwangalia karibu mechi zake zote za leage one..France,,
Jamaa analijuwa sn goal,,
Tena ni mchezaji style ya Diego Costa,, au gabriel batistuta,,,,anakufunga kwa vyote,,miguu na vichwa..amefungia PSG magoli 200 ktk mechi 300 ...sio mtu wa mchezo mchezo...
Man u tunataka watu serious...hapo tunatakiwa tupate centre back na left back ya kuingiza ndani mfano wa evra..mengine tumuachie ole
He is a good player in a farmers league.

Inasikitisha sana timu imetumia 60 days kutafuta striker over a sudden you come up with 34 year old suptuagenarian.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza Man united haichezi mpira wa kupiga cross cause haina wingers na full backs wake siyo wapiga cross.

Pia Mwalimu ana prefer kucheza na kutengeneza magoli centrally.

Kwa vyovyote vile usajili wa Cavani hautakuwa na impact yoyote kwa sababu hatapata service sahihi from both flanks.

Cavani sio mtu anayetegemea cross pekee ndo afungue, atafit sana kwenye mfumo wa kocha kwa sababu ni finisher mzuri kila angle anayokaa kwa upande wangu mimi, mfumo wowote pale man u unaohitaji huduma ya no9 cavani anafit
 
Kwanza Man united haichezi mpira wa kupiga cross cause haina wingers na full backs wake siyo wapiga cross.

Pia Mwalimu ana prefer kucheza na kutengeneza magoli centrally.

Kwa vyovyote vile usajili wa Cavani hautakuwa na impact yoyote kwa sababu hatapata service sahihi from both flanks.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hivi mkuu,,,mpira hauna kona? Hakuna faulo?
Kuna cross ngapi zinapigwa zinapita tu bila kuunganishwa?
Huyo ni really namba 9..he was made to score,,,
Huyo cavani atakufunga hata kwa shoot on goal..
Ifike kipindi man u wakipata kona ,,au faulo mashabiki timu pinzani presha 240
 
Bisaka+dj wamepiga cross zinazohitaji tuu finishing either kwa kichwa au mguu, kiasi kwamba ole akasema man u inahitaji kupata striker ambaye yuko radhi uvunje pua ila mpira uingie golini
Man United haichezi kwa cross except anapocheza Daniel James tu.

Kama ni hivyo Cavani will be disserviced kuliko kawaida kwa sababu he is only effective kwenye crossing na long balls.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cavani sio mtu anayetegemea cross pekee ndo afungue, atafita sana kwenye mfumo wa kocha kwa sababu ni finisher mzuri kila angle anayokaa kwa upande wangu mimi, mfumo wowote pale man u unaohitaji huduma ya no9 cavani anafit
Tutaona mechi zitakapoanza unless mwalimu aamue kumtumia Daniel James kama winger wa kulia cause ndiyo mchezaji pekee anayepiga cross united na Diogo Dalot

Mkuu hyo sio mtu mzuri,,,athletico Madrid pamoja na kuwa na Diego Costa,, Suarez lakini bado walikuwa wanamtaka ,,,
Jamaa ana height nzuri,, body fitness yake nzuri,,yupo strong...hajiangushi angushi hovyo,, kulialia na refa,,
Tena mechi yetu na PSG tutawasumbuwa sababu ya cavani,,
Mark my words mkuu..
 
Tutaona mechi zitakapoanza unless mwalimu aamue kumtumia Daniel James kama winger wa kulia cause ndiyo mchezaji pekee anayepiga cross united na Diogo Dalot

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Wan bisaka+shaw wote wanapiga cross, ni kwa sababu tuu zimekosa mmaliziaji ndio maana mwisho wa siku inaonekana timu haitegemei cross kushinda
 
Hivi mkuu,,,mpira hauna kona? Hakuna faulo?
Kuna cross ngapi zinapigwa zinapita tu bila kuunganishwa?
Huyo ni really namba 9..he was made to score,,,
Huyo cavani atakufunga hata kwa shoot on goal..
Ifike kipindi man u wakipata kona ,,au faulo mashabiki timu pinzani presha 240
Man United haichezi kwa cross unless huwa unaangalia united tofauti ninayoitazama mimi.

Labda kama Mwalimu ataamua kubadilika na kumtumia zaidi Daniel James kushoto au Kulia au kama dili la Sancho litakamilika.

Kutoka kushoto United hawapigi cross yoyote unless Shaw apande.

Kulia it's only Daniel James ambaye anapiga cross

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
With the option we have in his playing position, i still dont want to take his coming for granted
Mkuu,,,pengine ulikuwa unawaangalia PSG kwenye mechi moja moja,,,
Pendelea kuangalia leage one,,ungemuona cavani ktk mechi nyingi zaidi,, ukajiridhisha,,
Nakumbuka nilipendekeza one day kwamba man u wanapaswa watafute striker mfano wa cavani,,na kweli ole na mwenzie Wood wamenisikia,,,martial ni laini sana,,beki kama David luiz anamchezea ubabe analalama tu,,cavani type ya Ibrahimovic mkuu,,
Huyo ni aina ya center forward hata morinho anahitaji kuwa nae ktk team yake..
 
Tutaona mechi zitakapoanza unless mwalimu aamue kumtumia Daniel James kama winger wa kulia cause ndiyo mchezaji pekee anayepiga cross united na Diogo Dalot

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu cavani hata kwenye njia anakufunga,,,ana magoli mengi ya miguu kuliko kichwa,
Cross sio target yake pekee,,,hata kona unafungwa
 
Let's wait and see kitu pekee anachokileta ni kwamba atatuongezea attacking options na playing pattern tofauti kulingana na adui.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Angalia hii ratiba then imagine unaenda na martial kama 9 na ighalo kama back up yake, unategemea nini hapo
 
Attachments

  • Screenshot_2020-10-03-23-44-54-12.png
    Screenshot_2020-10-03-23-44-54-12.png
    268.4 KB · Views: 9
Mkuu,,,pengine ulikuwa unawaangalia PSG kwenye mechi moja moja,,,
Pendelea kuangalia leage one,,ungemuona cavani ktk mechi nyingi zaidi,, ukajiridhisha,,
Nakumbuka nilipendekeza one day kwamba man u wanapaswa watafute striker mfano wa cavani,,na kweli ole na mwenzie Wood wamenisikia,,,martial ni laini sana,,beki kama David luiz anamchezea ubabe analalama tu,,cavani type ya Ibrahimovic mkuu,,
Huyo ni aina ya center forward hata morinho anahitaji kuwa nae ktk team yake..
Hakuna mahali napingana na wewe
 
Huyo jamaa ni hatari sana mkuu,,mm nimemwangalia karibu mechi zake zote za leage one..France,,
Jamaa analijuwa sn goal,,
Tena ni mchezaji style ya Diego Costa,, au gabriel batistuta,,,,anakufunga kwa vyote,,miguu na vichwa..amefungia PSG magoli 200 ktk mechi 300 ...sio mtu wa mchezo mchezo...
Man u tunataka watu serious...hapo tunatakiwa tupate centre back na left back ya kuingiza ndani mfano wa evra..mengine tumuachie ole
Miaka 33 ndiyo unasifia hivi?
 
Back
Top Bottom