Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Man U zamani kuna wakati ilikuwa inategema striker mkali wa kati kati mf Rvp lakini pia kuna wakati ilikuwa inategemea fluid front 3 kama vile kipindi cha Tevez, Rooney, ronaldo.Service ipi mkuu wanayopata akina rashforf kwa martial?ndy hiyo ya kukosa nafasi 10 za wazi wakafunga moja?
Man u ni timu ambayo ilikuwa haogopewi tena kwenye kona na hata faulo kwenye timu pinzani,,,
Hakukuwa na striker good header,,na mipira ya kuunganisha...
Cavani hategemei cross mkuu,,,hata one against one anakufunga..
He is a true sniper...
Kipindi Cha fluid Front 3 hatukuwa tukitegemea Natural winger na magoli yanakuja kwenye build up tokea Nyuma. Mfano mzuri angalia hata Highlights za UTD 7 na Roma 1 pengine hiki ndio kipindi cha Man U bora kabisa.
Kipindi cha RVP mawinga walipewa specific inatruction na Fergie, unampasia RVP afunge ama unaondoka Man Utd, Timu nzima ili evolve around RVP, Tulikuwa na Rooney, Nani, valencia, Giggs na wengine wengi ambao hii kazi wanaijua.
Ole alikuwa ni part ya benchi la Ufundi kutengeneza man Utd ya 2008 na ni muumini wa huo mfumo na ndicho anachojaribu kukifanya man Utd sasa hivi, na hata lukaku alitaka Atokee kulia ili awe na striker ambaye anajua kulink na wenzake. Cavani hana utofauti sana na lukaku huwezi kumueka mbele, hana movement na technique za kutosha kulink na rashford na Greenwood.
Cavani ingekuwa ni 2013 hata yeye anaweza kutupa kombe akiwa amezungukwa na Kina Nani na Giggs maana wanajua wanamtafuta vipi striker.
Mkuu jiandae kisaikolojia maana mtaanza kumtukana ole muda si mrefu.
Na unaweza leta Ushahidi maRtial kwenye nafasi 10 anafunga 1? Website karibia zote zinamuweka kama Deadly striker anafikisha Accuracy hadi 40% na ameshaingoza ulaya nzima kama striker mwenye accuracy kubwa kabisa ya kufunga, mara ngapi umemuona anatoa mpira nje ama kipa kudaka?
