Manchester United (Red Devils) | Special Thread

radika,

Nimeona hapo juu kuna mahala umehamaki sana Bayern kumtaka mchezaji kama Callum Odoi labda kama ulikuwa unatania ila kama ulikuwa serious kuna kitu kikubwa sana ambacho unachanganya yaani mchezaji wa kuja kujenga timu vs mchezaji wa kuja kuongeza hamasa ya timu (au morali). Mchezaji wa hamasa ktk timu mara nyingi hununuliwa kwa kufanya head hunting hii ni direct approach benchi la ufundi linasema tunamtaka mtu fulani yupo mahala fulani hii ndiyo njia hutumika sana kibiashara na ndiyo hufurahisha mashabiki kwa timu zenye fan base kubwa kama Manchester United mara nyingi huleta watu wenye majina zaidi.

Na njia ya pili ni scouting-appproach based strategy hii unawapa assignment watafuta vipaji wenu kila kona kuleta majina kadhaa kwa pecking order kwa nafasi husika kwa sifa ambazo benchi la ufundi limependekeza. Hii njia kwa uchunguzi wangu binafsi ndiyo njia bora zaidi maana mnasajili watu wenye sifa sahihi zaidi haina business motivatives wala kufurahisha mashabiki ila inaleta wachezaji watakao fanya vizuri zaidi uwanjani. Manchester United tulifanikiwa sana na hii njia kwa miaka yote tokea Fergie awe kocha tulipofanya head hunting mara nyingi hatukufanikiwa (mf. Sebastian Veron), mara nyingi tulisajili wachezaji kwa recommendations za ma-scout na walifanya vizuri sana mf. Ronaldo, Ruud Van Nestrooy, Carlos Tevez, Chicharito, Vidic, Evra wote hawa wamekuja kujulikana zaidi Manchester United ila kabla ya hapo hawakuwa wachezaji wa kutisha sana au mvuto wa kibiashara.

Nikirudi kwenye mfumo wa usajili wa Bayern, hawa wapo kama Liverpool nilishaandika juzi jinsi Liverpool walivyo kwa sasa, yaani wanafanya strategic move sokoni wanaangalia wapi pana mapufungu na wanafukia kwa kuangalia sifa zaidi ya mtu anayenunuliwa kwa nafasi husika na sio jina la mtu anayefanya vizuri ktk nafasi fulani. Na ndio maana utaona Liverpool na Bayern hawafanyi sajili ambazo zitauza magazeti ila wanalenga capacity deliverance ya mchezaji na sio kufahamika kwake kama sisi tunavyoingia sokoni japo na wao huwa wanachanganya na head huting pia. Ndio maana utaona sisi tume-stuck na Jadon Sancho kwa ssb tunatumia head-hunting approach wa kati in reality kuna wachezaji wengi sana duniani wapo wenye vipaji kumzidi huyu dogo ila hawana media coverage mf. mchezaji kama Haaland amefahamika baada ya kucheza UEFA mwaka mmoja na nusu uliopita.
bayern kama Juve wanazo hizo strategy ila pia wanachukua mastaa vile vile hata kama hawafit mifumo yao, ni timu inayobalance biashara na soka. wana Flop wao kina Renato sanchez, gotze, podolski, Benatia etc
 
Cavani..
Screenshot_2020-10-03-20-59-53.jpeg
 
radika,

Nimeona hapo juu kuna mahala umehamaki sana Bayern kumtaka mchezaji kama Callum Odoi labda kama ulikuwa unatania ila kama ulikuwa serious kuna kitu kikubwa sana ambacho unachanganya yaani mchezaji wa kuja kujenga timu vs mchezaji wa kuja kuongeza hamasa ya timu (au morali). Mchezaji wa hamasa ktk timu mara nyingi hununuliwa kwa kufanya head hunting hii ni direct approach benchi la ufundi linasema tunamtaka mtu fulani yupo mahala fulani hii ndiyo njia hutumika sana kibiashara na ndiyo hufurahisha mashabiki kwa timu zenye fan base kubwa kama Manchester United mara nyingi huleta watu wenye majina zaidi.

Na njia ya pili ni scouting-appproach based strategy hii unawapa assignment watafuta vipaji wenu kila kona kuleta majina kadhaa kwa pecking order kwa nafasi husika kwa sifa ambazo benchi la ufundi limependekeza. Hii njia kwa uchunguzi wangu binafsi ndiyo njia bora zaidi maana mnasajili watu wenye sifa sahihi zaidi haina business motivatives wala kufurahisha mashabiki ila inaleta wachezaji watakao fanya vizuri zaidi uwanjani. Manchester United tulifanikiwa sana na hii njia kwa miaka yote tokea Fergie awe kocha tulipofanya head hunting mara nyingi hatukufanikiwa (mf. Sebastian Veron), mara nyingi tulisajili wachezaji kwa recommendations za ma-scout na walifanya vizuri sana mf. Ronaldo, Ruud Van Nestrooy, Carlos Tevez, Chicharito, Vidic, Evra wote hawa wamekuja kujulikana zaidi Manchester United ila kabla ya hapo hawakuwa wachezaji wa kutisha sana au mvuto wa kibiashara.

Nikirudi kwenye mfumo wa usajili wa Bayern, hawa wapo kama Liverpool nilishaandika juzi jinsi Liverpool walivyo kwa sasa, yaani wanafanya strategic move sokoni wanaangalia wapi pana mapufungu na wanafukia kwa kuangalia sifa zaidi ya mtu anayenunuliwa kwa nafasi husika na sio jina la mtu anayefanya vizuri ktk nafasi fulani. Na ndio maana utaona Liverpool na Bayern hawafanyi sajili ambazo zitauza magazeti ila wanalenga capacity deliverance ya mchezaji na sio kufahamika kwake kama sisi tunavyoingia sokoni japo na wao huwa wanachanganya na head huting pia. Ndio maana utaona sisi tume-stuck na Jadon Sancho kwa ssb tunatumia head-hunting approach wa kati in reality kuna wachezaji wengi sana duniani wapo wenye vipaji kumzidi huyu dogo ila hawana media coverage mf. mchezaji kama Haaland amefahamika baada ya kucheza UEFA mwaka mmoja na nusu uliopita.

Nimefurahishwa na usajili wao si kwamba nawashangaa hapana mbinu wanazotumia zinafurahisha sana
 
Man United are closing on Edinson Cavani deal!
Agreement reached on personal terms until 2022.
Last details to be sorted about agents fee [huge amount - €10m asked] then the deal will be done.
#MUFC see Cavani as “great opportunity”.
Here we go expected soon. NO Luka Jovic
 
Leeds...... naahidi kuwaunga mkono msimu huu...Wachezaji wote wanapambana uwanjani....beki zinachezea mpira na kuziba hatari...winger zao mbili, jezi no 20 na no 7 ni kipengere japo wote wametokea benchi game na City leo...Wako technical...pass murua za visigino....hadi Uzi wao mweupe swaafi kabisa....Isipoharibu hii team itanipunguzia stress za Ole guna na Deadwood wake
 
Already deal done mkuu..2 years contract.,
 
Leeds...... naahidi kuwaunga mkono msimu huu...Wachezaji wote wanapambana uwanjani....beki zinachezea mpira na kuziba hatari...winger zao mbili, jezi no 20 na no 7 ni kipengere japo wote wametokea benchi game na City leo...Wako technical...pass murua za visigino....hadi Uzi wao mweupe swaafi kabisa....Isipoharibu hii team itanipunguzia stress za Ole guna na Deadwood wake
Kwamba mshabiki wa Man U anaiunga Mkono leeds?
 
radika,

Ni kweli Bayern na wao wanachanganya kibiashara na kimkakati ktk kusajili ila mfumo wa kimkakati ndio una nguvu zaidi maana huu unalenga zaidi kujenga timu hata Fergie alifanya hivi pia kipindi tukiwa wa moto sana. Jaribu kuiangalia Manchester United iliyokuwa chini ya Peter Kenyon na David Gill as our football executives ndio utagundua Bayern na Liverpool wanatumia mbinu walizokuwa wanatumia hawa mafundi wawili. Tulikuwa tunasajili wachezaji wa kawaida kabisa wasio na majina ila walikuwa wanageuka kuwa ma-legendary. Unajua ni kwa nn? Ni kwa ssb tuliangalia mahitaji zaidi ya timu yetu na sio usajili wa kibiashara.

Kwa Ed Woodward sasa hivi huyu mzembe anaamini pesa ndio kila kitu. Unapokuwa na Chief Executive anayeamini pesa ndio suluhu ya kila kitu ni hatari sana. Kwa mahala Manchester United ilipo kwa sasa hatuhitaji majina makubwa uwanjani ila tunahitaji watu walio-smart ku-assemble talents pamoja kuleta matokeo uwanjani (well coordinated scouting teams vs coaching staffs). Kuna muda una-fix matatizo kimipango na sio kibiashara zaidi, in long-run pesa itakuja tukianza kufanya vizuri uwanjani. Mbinu za Ed ktk kuiendesha timu yetu ni za kitoto sana. Anapaka rangi nyumba kwa rangi za gharama sana ili hali ndani kuna vuja.
 
Cavani and his agents will be in UK tomorrow to complete the agreement on agents fee [€10m asked].
Personal terms ok until June 2022.
Here we go’ expected tomorrow to finalize agreement > complete medicals.
#MUFC
 
Mkuu mshabiki anabaki shabiki,,,mpenzi wa soka ndy anapenda timu yeyote anayovutiwa nayo...hata Norwich city
Mkuu mimi ni mfuasi na shabiki kindakindaki wa Manchester United. Nina jezi za kina York, Cantona, Beckham na Vernistrooy hadi leo kabatini...Sharp, Vodafone, Aon, AIG..nk.Nimeisifia Leeds kwa ubora wao katika kipindi ambacho team yangu inavurugwa na wapuuzi kadhaa pale kwenye uongozi. Hii ni sawa na kuvutiwa na mchepuko kwa upuuzi wa mke wa ndani, which is normal for a complete MAN.
 
Back
Top Bottom