Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Hivi Ole hana mpango wa kusajili au board yetu haina uwezo wa kusajili ?itafika wakati atataka kumuuza ad bruno wasipoangalia mana, huyu kocha hana mbinu za kiufundi kabsa kashusha viwango vya wachezaji toka aje mfano daniel james, bissaka , maguire, hata bruno ukianza kuangalia unaona ananza kushuka na si ajabu hata sancho akaja akawa boya tu, mana kocha hatuna kabisa.
Lukaku aliyemkataa ndo kawa mchezaji bora uropa na mpaka leo hana mpango wa kusajili ril no 9 nahisi maumivu kila nikicheki timu yangu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
★
★