Kwenye umri nimechanganya kidogo, nimekubali kusahihishwa
Lakini kuhusu yeye kutoitwa National Team sababu ya Messi hiyo ni theory inayojaribu kuelezea kwanini anaachwa, na theory sio reality
Ukweli ni kwamba kocha anaona Aguero, Higuan, Dyabala, Messi & co. kuwa mbele yake kiuwezo
Icard hawezi kuwa upgrade ya United foward line.
Ukiangalia hata stats za magoli, Mauro ana goli 9 msimu huu, Rash ana 9, Martial nadhani ana 9 pia. Lukaku ana goli 8, japo yeye amefunga goli kila baada ya dakika 178 wakati Mauro yeye amefunga goli kila baada ya dakika 185
United hatakiwi kusajili average player kwa sasa. Anapaswa kusajili mchezaji atakayeleta tofauti kikosini
Sent using
Jamii Forums mobile app