Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
Ha haaaaaaIlikuaje Man U hawajapata penalti ya pili?
Ina maana bila penalti hamshindi game?
Ha haaaaaaIlikuaje Man U hawajapata penalti ya pili?
Ina maana bila penalti hamshindi game?
Isingekuwa penati Buruno angekuwa kama Lingard tuBruno peremende bila penati hana tofauti na Bakayoko kabisaa



Bro nishaongeaga sana humu jukwaani, kuna wengine wakanifukuza hadi ushabiki eti nitafute timu ya kushabikia@xYz07

Ahaaa ahaaa na App yake ya matokeo wakiongoza.
Kweli mmewafunga 4hawa sevila gori chache tunawafunga leo ni nne.
Umefukuzwa ushabiki mkuu hahahahahahahahaBro nishaongeaga sana humu jukwaani, kuna wengine wakanifukuza hadi ushabiki eti nitafute timu ya kushabikia
Nadhani sasa dawa ishaanza kuwaingia
Tushakubaliana kama Rashford ni welbeck aliyechangamka ...huyu dogo simpendi toka kipindi cha Mourinho
We jamaa banah! Unawasajilia wachezaji wa arsenal kwenye JF, li timu lako libovu na nikuambie tu, msimu ujao utaihama timu yako hahahaaa... Unatoa mi updates ya wachezaji oooh kifaa kimetua wakati wachezaji wenyewe ni huru hahahaaa...Magalhaes close joining Arsenal
Nafikiri msimu ujao ni muda wa kumuondoa ukapteni Maguire na kumpa Bruno Fernandez hebu imagine Bruno angekuwa na kaptain band Lindelof angekuwa mpole.
Sababu ya pili Maguire jinga sana shenzi kabisa linaangalia ball zinapita au linakwepa ball.
Mechi na Copenhagen Bailly alimbeba alafu kocha jinga Unauachaje Bailly.
Next thing: Waingereza washenzi sana Rashford from today sikupendi manina zako. Maguire, Wan-Bissaka, wote hatuna timu pale.
Nahisi tunahitaji kocha Mkali now ambae muda wote ni kufokea uzembe hata kupiga Sub na kuuza matatizo ila anayeheshimu wachezaji wenye bidii.
Mnaosema Man U penalty, kwani tunachukua mpira na kupiga bila Refa?
Bruno ana goli 8 kati ya mechi 10 EUROPA tuzo inaenda kwake haya basi hater mchonge.
Brandon ubarikiwe ulijitahidi kupambana ila likaptain bovu
Infact we need to buy almost the whole squad.We need to buy a straiker.
Nakuunga mkono kabisa.Maguire tumepigwa
Bisaka ametepeta
Rashid apelekwe kwa mkopo Watford
Sosha fukuza
Lindelof auzwe
Umeona sahihi kabisa.Kocha wa Man united watamghalim Sana Wachezaji wa kiingereza..nina uhakika utumbo aliokuwa anaucheza Rashiford,ingelikuwa Ingalo angelikuwa amefanyiwa Sub dakika ya 30 first half.