Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,885
- 78,739
Kuna andazi moja limezunguka nyuzi za watu kusema "Njooni muone pressing za hatari" sijui limejificha wapi.
Anyway, Man U ili kufika hapo ilipita kwa penati. Gemu imeanza bwana Bruno Penalties akapata penati goli la Sevilla unaona kabisa move ya goli inatengenezwa na watu wanascore.
Yaani kwa kifupi. Man U na Simba zikija kwenye swala la kucheza na Sevilla Simba ni bora kuliko man u.