Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
kwa hiyo kwa hiyo faulo ingekuwa corner?Mtu ashapiga mpira penalty ya nini
kwa hiyo kwa hiyo faulo ingekuwa corner?Mtu ashapiga mpira penalty ya nini
Hii game hamshindi nyie mbuhawa sevila gori chache tunawafunga leo ni nne.
Naomba link niangalie mtandaoni.
Ile mechi ya robo fainali kuna jamaa alitusaidia linki ya kiarabu. Ilitusaidia.
Hii game hamshindi nyie mbu
Haujui, km Bruno angefunga, isingerudi kuwa penatiMtu ashapiga mpira penalty ya nini
Full backs ni mgogoro na jamaa wanatumia sana flangsTuko poor sana kwenye markng
Unatafuta nini huku we pungaHivi nyie nyumbu aka takataka bila penalti hamuwezi kabisa.!!??
Nyumbu mama na baba ako.Hii game hamshindi nyie mbu
Nyumbu kama nyumbu tuNyumbu mama na baba ako.
