Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shit perfomance(tumeshindwaje kupata hata goli moja 2nd half?) and shit team management

Rashford ilibidi asirudi 2nd half

Timu haina ile total maturity,ujinga ujinga mwingi kila eneo mpaka kwa kocha

Ungese mtupu
 
Message sent and delivered
20200817_000724.jpeg
 
Kunawakati mpira una amriwa na bahati, Timu imecheza vizuri imepata nafasi nyingi ila bahati aikua kwa man u.sevilla wamecheza kiasi ila bahati ilikua upande wao.
Hivyo ndivyo tunaita kucheza kiubingwa. Sevila kombe lake lile anajua nini cha kufanya ili tu afike final.

Poleni sana.
 
Hakuna mchezaji aliye cheza vibaya, timu imejituma mwanzo mwisho ila Sevilla wanabahati kwa Man u, Sevila wametengeneza nafasi chache sana, man u wametengeneza nafasi nyingi ila mpira uligoma kuingia wavuni.
Mbinu za kocha zilikua sahihi timu imeshambulia sana ikabaki mpira kuingia wavuni lakini haikua siku ya Man u. Kuna siku kwenye soka inakua ivyo.
Goal Attemp Man Utd 20
Sevilla 9
 
Hakuna mchezaji aliye cheza vibaya, timu imejituma mwanzo mwisho ila Sevilla wanabahati kwa Man u, Sevila wametengeneza nafasi chache sana, man u wametengeneza nafasi nyingi ila mpira uligoma kuingia wavuni.
Mbinu za kocha zilikua sahihi timu imeshambulia sana ikabaki mpira kuingia wavuni lakini havikua siku ya Man u. Kuna siku kwenye soka inakua ivyo.
hakuna bahati kwenye mpira,football is science,kila kitu kinapangwa.Man Utd takataka lazima tukubali.
 
Back
Top Bottom