Usimfananishe Klopp na Sosha!Sioni sababu ya kumbeza OGS, bado anahitaji kuwezeshwa mahitaji yake kwa wakati. Rejea Klopp aliingia fainali kama sio 2/3 zote alipoteza kilichofuata baada ya hapo alisajili wachezaji aliona wanamfaa kumletea makombe.
Scholes tunamheshimu aache us.enge aisee...Maguire ni mbovu piaEnglish bias. Pumbavu kabisa.View attachment 1539940
Hata mimi napenda sanaHua napenda timu ikifungwa mashabiki wanavyojirudi na kuanza kua wachambuzi. Hongereni


siku hizi wamepunguza...Sipingi maoni yako ila yamekaa kihisia sana..Maguire tumepigwa
Bisaka ametepeta
Rashid apelekwe kwa mkopo Watford
Sosha fukuza
Lindelof auzwe
Unaongea pumba , timu yako nzuri ndio hii iliyopigwa Jana?We jamaa banah! Unawasajilia wachezaji wa arsenal kwenye JF, li timu lako libovu na nikuambie tu, msimu ujao utaihama timu yako hahahaaa... Unatoa mi updates ya wachezaji oooh kifaa kimetua wakati wachezaji wenyewe ni huru hahahaaa...
Tumpe kocha muda..tumletee wachezaji anaowataka tumuangalie..
Akizingua TUMFUKUZE..!
Mm n shabiki wa Liverpool ila kiukwel kipigo kikitokea sijui kinatokea nn hapo n kimombo tu had siku 3 zipite hahahaHata mimi napenda sana
, ila kule Liverpool ndio kiboko huwaga wakifungwa wao wanachambua kwa kimombo tu,siku hizi wamepunguza...
NB:Nyumbu kama Nyumbu hawana timu, ni kundi la wakwavi tu.
Yeah suala la Solkjaer kuwa mkali ni muhimu kuna wachezaji wanahitaji kuamshwa ili wajue wanachotakiwa kufanya.Nafikiri msimu ujao ni muda wa kumuondoa ukapteni Maguire na kumpa Bruno Fernandez hebu imagine Bruno angekuwa na kaptain band Lindelof angekuwa mpole.
Sababu ya pili Maguire jinga sana shenzi kabisa linaangalia ball zinapita au linakwepa ball.
Mechi na Copenhagen Bailly alimbeba alafu kocha jinga Unauachaje Bailly.
Next thing: Waingereza washenzi sana Rashford from today sikupendi manina zako. Maguire, Wan-Bissaka, wote hatuna timu pale.
Nahisi tunahitaji kocha Mkali now ambae muda wote ni kufokea uzembe hata kupiga Sub na kuuza matatizo ila anayeheshimu wachezaji wenye bidii.
Mnaosema Man U penalty, kwani tunachukua mpira na kupiga bila Refa?
Bruno ana goli 8 kati ya mechi 10 EUROPA tuzo inaenda kwake haya basi hater mchonge.
Brandon ubarikiwe ulijitahidi kupambana ila likaptain bovu
HahahahaWe jamaa banah! Unawasajilia wachezaji wa arsenal kwenye JF, li timu lako libovu na nikuambie tu, msimu ujao utaihama timu yako hahahaaa... Unatoa mi updates ya wachezaji oooh kifaa kimetua wakati wachezaji wenyewe ni huru hahahaaa...







Awa mashabiki wanaeza ipanga hii timu ukikuta wanachambua unaeza sema hakuna game watapotezaHua napenda timu ikifungwa mashabiki wanavyojirudi na kuanza kua wachambuzi. Hongereni




Sanchez alisajiliwa na Mourinho.Huu si uwekezaji mdogo
Maguire
Bissaka
Bruno
Sanchez
James
Watangulizi wake waliwaleta
Pogba
Fred
Martial
Lindelof
Matic
Belly
Luke
Anweza fika misimu 10 kila mchezaji anyesajili anashindwa kumtumia na washabiki wakaendelea kumba apewe wachezaji anaowataka.
Huwezi kuwa na Watu aina ya Pogba-Martial-Bruno-Rash-Fred ukashinda kudeliver than ukalalamikia usajili.
Kocha ameshindwa kuwatumia hao wachezaji! In thing else.
Nakazia.Huu si uwekezaji mdogo
Maguire
Bissaka
Bruno
Sanchez
James
Watangulizi wake waliwaleta
Pogba
Fred
Martial
Lindelof
Matic
Belly
Luke
Anweza fika misimu 10 kila mchezaji anyesajili anashindwa kumtumia na washabiki wakaendelea kumba apewe wachezaji anaowataka.
Huwezi kuwa na Watu aina ya Pogba-Martial-Bruno-Rash-Fred ukashinda kudeliver than ukalalamikia usajili.
Kocha ameshindwa kuwatumia hao wachezaji! In thing else.
Hahaha nikajua unatania.,Hata mimi napenda sana
, ila kule Liverpool ndio kiboko huwaga wakifungwa wao wanachambua kwa kimombo tu,siku hizi wamepunguza...
NB:Nyumbu kama Nyumbu hawana timu, ni kundi la wakwavi tu.
Hadi jamaa kaja kuthibitishaMm n shabiki wa Liverpool ila kiukwel kipigo kikitokea sijui kinatokea nn hapo n kimombo tu had siku 3 zipite hahaha
Hii timu ina wachezaji wamesajiliwa kwa pesa kubwa. Kisha wanaenda kupita mbele ya Copenhagen kwa penati.