Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
kuna wachezaji wanapiga mipira ambayo sionagi wachezaji wa timu ingine wanaipiga, fyongo kabisa
Asante sana. Napata kitu clear kabisaDownload FEFA TV kama unatumia simu ,unaangalia mechi unayotaka non stop
Asante sana. Napata kitu clear kabisa

.Tuliomba kamati ya roho mbaya imzingatie SUSO, naamini second half kamati itatimiza kazi yao.vs SEVILLA
Bora hawa kuliko Wolves.
BANEGA na SUSO waundiwe kamati ya roho mbaya.
Rashford ni fraud kwa kweli.Ila Rashford asee tutafute mbadala tu tangu corona iishe simuelewi kabisa yani alitaka kufanyaje pale dakika za mwisho?.
Halafu kusajiri tunasuasua kwa kikosi hiki si tutatoka makundi tu sisi tena tuombe aibu ya Barca isitukute.
Si mlimsajili kwa mbwembwe lakiniIla wakuu pia tuache kudanganya..huyu bissaka nae hatoshi kuichezea utd..ni mchezaji mzr lkn wa timu ndogo
Ni mzito sana kufanya maamuzi.Ila wakuu pia tuache kudanganya..huyu bissaka nae hatoshi kuichezea utd..ni mchezaji mzr lkn wa timu ndogo
Mtasajili nani nyie.. We unafkiri kuna mchezaji gani mzuri atakubali kuja kwenye timu mbovu km hiiWakati tunaangaika na usajili,rashford pia namba yake inahitaji mtu wa kupokezana.