Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eti nyie Man united ..munapendekeza ligi ifutwe au iyendelee??

Bila kupepesa macho, Ligi ikifutwa Liverpool apewe kombe au asipewe?

Bila kujikuna je muko tayari kucheza Europa tena?

Japo uhakika wa Uefa hamuna kabisa.

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway... hata hivyo kwa tafsiri ya haraka haraka unaposema timu kubwa England, kichwani majina yafuatayo yanakuja kichwani Man United, Man City, Liverpool, Arsenal, Chelsea... muda mwingine hata Spurs..
Na hii haijalishi timu ipo kwenye form gani wakati huo... Maana siku za nyuma specifically (2015-2016) Leicester walikuwa kwenye form nzuri kuliko sisi timu kubwa.. lakini haikumfanya awe timu kubwa.

Bila shaka, you meant Chelsea hakuwa kwenye form right? although, still huu msimu bado sio mzuri kwake and she is still considered as katimu kakubwa
Kweli wewe hamnazo ..Chelsea unaichukulia kama team ndogo??

Acha ushamba mkuu ..iyo man u unaona kubwa imebaki jina tu takataka ii

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba auzwe tu, pesa yake ilete wachezaji wengine wazuri, yeye na wakala wake wasumbufu sana, akiendelea kubaki ataanza kudai mshahara mkubwa zaidi anayolipwa sasa £290000mil, atavuruga dressing room huyu kirusi, kina bruno nao watataka walipwe kama yeye (Bruno salary yake haifiki hata £100000) ila cheki anacho offer uwanjani
Hata ujio wa Bruno ni kuziba pengo la Pogba

Jana OT majeruhi kina Rashfod walikua uwanjani, sasa hapo ebu mcheki Pogba picha aliyoweka jana IG sijui yupo wap uko, ktk IG yake hapost chochote abt utd zaidi ya matangazo yake ya adidas, huyu wa kuuzwa tu, kule Seria A kuna corona virus, Laliga kumepoteza mvuto, kule France hata Mbape hapataki ligi ya timu moja, kazi kwake kirusi
View attachment 1382233

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaingilia maisha binafsi ya mtu ..unataka apost kuhusu man u ili iweje ..yani apost nini? akaunt yake inahusiana nin na man u ..au kuna hisa man u wameweka pale.. yeye ni mwajiriwa wa man u na maisha ake binafsi wee vipi..!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama City adhabu yake itaendelea mnaweza kuwa namba 2, ila kama rufaa itashinda watakuwa wao namba 2 na nyie 3.

Namba moja anajulikana, siyo swala la discussion.
Hahaha unajua kabisa hichi kitu hakitatokea ..man u kuwa nMba mbili ..

Hichi kitu alifanya Mou tu ..wengine wote watakaopita wataishia nafasi ya tano/sita..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom