mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Pogba auzwe tu, pesa yake ilete wachezaji wengine wazuri, yeye na wakala wake wasumbufu sana, akiendelea kubaki ataanza kudai mshahara mkubwa zaidi anayolipwa sasa £290000mil, atavuruga dressing room huyu kirusi, kina bruno nao watataka walipwe kama yeye (Bruno salary yake haifiki hata £100000) ila cheki anacho offer uwanjaniNawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi
Hata ujio wa Bruno ni kuziba pengo la Pogba
Jana OT majeruhi kina Rashfod walikua uwanjani, sasa hapo ebu mcheki Pogba picha aliyoweka jana IG sijui yupo wap uko, ktk IG yake hapost chochote abt utd zaidi ya matangazo yake ya adidas, huyu wa kuuzwa tu, kule Seria A kuna corona virus, Laliga kumepoteza mvuto, kule France hata Mbape hapataki ligi ya timu moja, kazi kwake kirusi
Sent using Jamii Forums mobile app


