Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Je premier league wako tayari wapate loss ?

Hii league itaendelea hata kwa mechi kuchezwa bila mashabiki
Uzuri ni euro ishakuwa postponed so kwa namna yeyote ile league zitaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona makampuni yanapata hasara tu?

Serikali zao zinawapa msaada kujifufua?

PL ina immunity gani na kupata hasara au faida?

Sometimes tutambue wachezaji sio money machines. They are human beings.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba in Juve kit

Raiola on bringing a great footballer at Madrid

What a chemistry between them View attachment 1393135

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Raiola anamuaribia Pobga badala ya kumjenga, pia anajiaribia yeye mwenyewe market yake

Nani atakubali kutoa zaidi £100ml kwa mchezaji mwenye wakala asiye na nidhamu ya mikataba ya wachezaji wake

Raiola na Pogba wamuige Cr7 na Mendes jinsi walivyofanya utaratibu mzuri mpaka Cr7 club ikamuza kwenda Madrid for peace

Binafsi sitaki kumuona Pogba ktk jezi ya Manutd next season na OGS kama anataka success pale OT sharti aondoe hiki kirusi, huyu atavuruga sana dressing room
Mchezaji yupo busy na media na fashion utafikiri ni actor hollywood
Najaribu kuwaza hivi Raiola angemmiliki either Messi/Cr7 kwenye peak zao sijui ingekuaje hizo vurumai angezianzisha

GGMU

Beckham waligombana na Sir Alex mara baada ya kuingia kwenye dunia ya fashion, Mzee hakuona tabu kumwambia nenda Madrid hapa hatuwez kuelewana.....

Ila mpka kesho Becks anamuheshimu sana Sir Alex....

Pogba kwa maisha ambayo anaishi its only Manchester United wanaweza kutorelate huu upuuzi wake.

Aende Madrid au Juventus then tuone kama hii celebrity life analoishi huku anaweza kuyafanya kule.

Madrid anakutana na Wahuni Rais wa Club mwenyewe msema ovyo Mr Perez sio muoga wa kumwambia mchezaji ukwel

Akienda Juventus anakutana na CR7 ambae ni star kuliko kirus then unaanzia wap kuleta upumbavu.

Manchester United its only place ambako anaweza kuchafua hali ya hewa na bado watu wakamuangalia tu kwasababu za kibiashara ili auze Jezi.

OGS uza Pogba nunua wachezaji wengne ambao ni complete, Liverpool hakuna mchezaji ambae anajiona star kuliko wenzie ndio maana team ina nidhamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi imesimama sasa hivi una kiburi cha kuja kwenye jukwaa letu

Ligi ilivyokuwa inaendelea, ukijipiga ban kuja huku maana hali ya Chelsix ilikuwa ni tete

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha unataka kusema sisi tuko vibaya kuliko nyie? ebu kuwa siriyaz bwana ..hii man u ni ya kufananisha na Chelsea kiuwezo? ni dbambi mbaya sana mkuu. ngoja ligi irudi, takataka yeyote itayakayokatiza mbele yetu ni alali yetu
 
Huyu Raiola anamuaribia Pobga badala ya kumjenga, pia anajiaribia yeye mwenyewe market yake

Nani atakubali kutoa zaidi £100ml kwa mchezaji mwenye wakala asiye na nidhamu ya mikataba ya wachezaji wake

Raiola na Pogba wamuige Cr7 na Mendes jinsi walivyofanya utaratibu mzuri mpaka Cr7 club ikamuza kwenda Madrid for peace

Binafsi sitaki kumuona Pogba ktk jezi ya Manutd next season na OGS kama anataka success pale OT sharti aondoe hiki kirusi, huyu atavuruga sana dressing room
Mchezaji yupo busy na media na fashion utafikiri ni actor hollywood
Najaribu kuwaza hivi Raiola angemmiliki either Messi/Cr7 kwenye peak zao sijui ingekuaje hizo vurumai angezianzisha

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasingefika hapo walipo
 
Beckham waligombana na Sir Alex mara baada ya kuingia kwenye dunia ya fashion, Mzee hakuona tabu kumwambia nenda Madrid hapa hatuwez kuelewana.....

Ila mpka kesho Becks anamuheshimu sana Sir Alex....

Pogba kwa maisha ambayo anaishi its only Manchester United wanaweza kutorelate huu upuuzi wake.

Aende Madrid au Juventus then tuone kama hii celebrity life analoishi huku anaweza kuyafanya kule.

Madrid anakutana na Wahuni Rais wa Club mwenyewe msema ovyo Mr Perez sio muoga wa kumwambia mchezaji ukwel

Akienda Juventus anakutana na CR7 ambae ni star kuliko kirus then unaanzia wap kuleta upumbavu.

Manchester United its only place ambako anaweza kuchafua hali ya hewa na bado watu wakamuangalia tu kwasababu za kibiashara ili auze Jezi.

OGS uza Pogba nunua wachezaji wengne ambao ni complete, Liverpool hakuna mchezaji ambae anajiona star kuliko wenzie ndio maana team ina nidhamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huo mshahara anaolipwa hapa sidhani kama ataenda kulipwa huko aendako. Nahisi lazima afanye paycut, mana wenzetu wana stable structure of salaries hasa Madrid. Juve ukiondoa CR7 wengine nadhani wako ktk kiwango Fulani kisichotetereka sana
 
Una maana gani unaposema Madrid wana stable salaries structure.
Yaani Madrid wana viwango fixed vya mishahara ama?
Sasa kama ni hivo, mbona wachezaji wengine (karibu wote duniani) ndoto yao kubwa ni kucheza Real Madrid.
 
Point yake hapo juu ni kwamba kuna average pay kwa majority ya wachezaji sio kwamba huyu kule huyu huku.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maana gani unaposema Madrid wana stable salaries structure.
Yaani Madrid wana viwango fixed vya mishahara ama?
Sasa kama ni hivo, mbona wachezaji wengine (karibu wote duniani) ndoto yao kubwa ni kucheza Real Madrid.
Ni hawana fixed salaries ila hakuna mlipuko Wa mishahara tena kwa wachezaji ambao hawastahili kama ilivyo kwa man U.

Wachezaji wengi Wa natamani kupita Madrid kutokana na historia na heshima walojijengea Real Madrid hasa ule utamaduni wao Wa Galacticos signings. Hivyo mchezaji anapojiona ni bora anaamini anastahili kuwemo kwenye historia ya kuwa galactic aliyewahi cheza hapo R. Madrid

Angalia hapo salary za Madrid kwa kila mchezaji ukilinganisha work rate yake, mchango na uwezo wake + mafanikio alopata akiwa hapo ukiondoa Eden Hazard ambaye bi new signing, halafu kwa kutumia kigezo hichohicho angalia upande Wa Man U!

PLAYER AGE WEEKLY WAGE DEAL CONTRACT LEFT
Thibaut Courtois 26 Unknown New signing 2024-06-30
Alphonse Areola 25 Unknown Loan 2020-06-30
Kiko Casilla 31 £30,000 2020-06-30
Andriy Lunin 19 £25,000 New signing 2024-06-30
Theo Hernandez 20 £30,000 2023-06-30
Sergio Ramos 32 £200,000 2020-06-30
Raphaël Varane 25 £140,000 New deal 2022-06-30
Alvaro Odriozola 22 £45,000 2024-06-30
Nacho Fernández 28 £70,000 2020-06-30
Marcelo 30 £150,000 New deal 2022-06-30
Daniel Carvajal 26 £100,000 2022-06-30
Casemiro 26 £90,000 New deal 2021-06-30
Toni Kroos 28 £200,000 New deal 2022-06-30
Luka Modric 32 £180,000 2020-06-30
Federico Valverde 20 Unknown 2021-06-30
Isco 26 £120,000 New deal 2022-06-30
Marco Asensio 22 £90,000 New deal 2023-06-30
Vinicius Junior 18 £40,000 New signing 2025-06-30
Gareth Bale 30 £350,000 2022-06-30
Karim Benzema 31 £150,000 New deal 2021-06-30
Lucas Vázquez 27 £60,000 2021-06-30
Borja Mayoral 21 £10,000 2021-06-30
Raul de Tomas 23 Unknown Promoted 2023-06-30
Brahim Diaz 19 Unknown 2025-06-30
Eden Hazard 28 £400,000 New Signing 2024-06-30
Eder Militao 21 Unknown New Signing 2025-06-30
Rodrygo 18 Unknown New Signing 2022-06-30
Ferland Mendy 24 Unknown New Signing 2025-06-30
Luka Jovic 21 £170,000 New Signing 2025-06-30
 
Yaani Bale anavuta mkwanja mrefu hivo kushinda hata kina Ramos, Modric na Kroos ambao ndio Skeleton ya Madrid!!!
 
impact yake si unaiona lakini?? muache ale pesa ndefu iyo majeruhi tu ndio yanamzingua

Impact gani Bale anayo pale Madrid...
Kufunga zile goli mbili final UEFA 2018 ama?? Yaani unataka kusema Bale ana impact kubwa kuliko kina Ramos, Modric na Kasemiro engineers wa timu!!!
 
wewe waona hana impact ila tajiri mpaka kamkingia kifua asiondoke
 
Umesema tajiri gani kamkingia kifua asiondoke? Rais Perez ama?
I don't think so....
Wewe labda useme Bale bado yupo Madrid na kula pesa ndefu kuliko wenzake kwa sababu ya mkataba wake wa mwanzo wakati anasajiliwa.
Sijui mkataba unaisha lini abebe virago vyake.
 
Yaani Bale anavuta mkwanja mrefu hivo kushinda hata kina Ramos, Modric na Kroos ambao ndio Skeleton ya Madrid!!!
Kwa kiasi kikubwa sana cha hii pesa aliingia nayo wakati ana sign mkataba Wa kwanza. Na ukumbuke yeye alivunja hadi rekodi ya uhamisho Wa cr7 toka Man U!
 
Back
Top Bottom