Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu hii kitu nimeikuta sehemu, eti ni kweli Pogba never been nominated for a player of the month award?
Screenshot_20200310-130020.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona Corona Corona Virus

Anakaribia kutuharibia shughuli

Baada ya mechi kuanza kuchezwa bila mashabiki huko Italia, sasa mechi zimeahirishwa mpaka April

Mechi ya UCL kati ya Barca VS Napoli itachezwa bila mashabiki

Dalili zinaonesha ligi nyingi zitaahirishwa hiki kirusi kikiendelea, nimesikia mmiliki wa Nottingham forest amejitangaza kuwa ana kirusi na amejitenga na jamii (sijui yupo Uingereza? )

God forbid hiki kirusi kisiendelee kutamba, watu wanaendelea kufa na ligi za soka/michezo zinaweza kusimama mashabiki tukakosa utamu wa burudani ya soka

Ligi inaweza kuwa canceled Liverpool wasichukue ubingwa, Man Utd tusiingie top 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasubiri basi tumpite chelsea hapo hata kwa goal difference tu.

Chelsea na man city watulie tucheze soka.... Pogma ni snitch aende zake
 
Ishu ya Pogba nimeona mkiijadili sana,, inenivutia aisehh watu mpo nondo sanaaa,

Pogba auzwe tu hamna namna,, ye amedai anahitaji changamoto mpya,,

Naona kwa sasa man utd wanacheza kwa molari ya juu sanaaaa,,, mchek Fred,Matic, ukimjumlisha na Bruno ndo kabisa utaomba weekend ifike ukawaone.

Wakina Lingard,Pogba waende tu wakacheze mziki,

Asa hivi hata De gea unamuona yuko happy,, Pale mbele ndo kabisa mtoto Martial siku hizi smile linaonekana,, Igalo nae naona ana molari japo ana mda mfupi pale,,

Wan bissaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Breaking news;POGBA KUBAKI UTD!??
kuna taarufa zimetoka kwamba kuna uwezekano wa pogba kubaki UTD 7bu ya kutokuwa na suitor aliye tayari kulipa dau kubwa kumnunua na Kumlipa mshahara mkubwa atakao utaka..

Kwa kukumbushia JUVE pekee ndo panaonekana ni likely destination ya pogba since Madrid walishajitoa kwny mbio za kumnunua kutokana na kina bwana mdogo Valverde kukichafua pale kati..

My take; Muda utatupa majibu..tuwe wavumilivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom