Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu Bale amekuzwa kuanzia mkwanja alionunuliwa nao, kisha mshahara...... Yani kuna wachezaji wana kismati cha kukubalika bila sababu ya msingi

Ukiangalia mchango wake kwa timu na mshahara anaokula, utagundua anawapiga Madrid
Umesema tajiri gani kamkingia kifua asiondoke? Rais Perez ama?
I don't think so....
Wewe labda useme Bale bado yupo Madrid na kula pesa ndefu kuliko wenzake kwa sababu ya mkataba wake wa mwanzo wakati anasajiliwa.
Sijui mkataba unaisha lini abebe virago vyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu wa pili baada ya kwenda madrid Bale alicontribute sana kwenye zile mechi muhimu za madrid fainali nyingi alifunga hata hiyo ni bahati.
Majeruhi yamemfanya vibaya sana pale spain.
Huyu Bale amekuzwa kuanzia mkwanja alionunuliwa nao, kisha mshahara...... Yani kuna wachezaji wana kismati cha kukubalika bila sababu ya msingi

Ukiangalia mchango wake kwa timu na mshahara anaokula, utagundua anawapiga Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu kwenye vibanda umiza, utasikia.... tatizo Greenwood hana speed
Screenshot_20200321_155735_com.instagram.android.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya Man united vs Arsenal ile ya 8 - 2 inarudiwa muda huu kupitia SS3, kwa anayehitaji kuangalia kumbukizi tamu anaweza kuicheki muda huu.
 
Naona bado tupo kwenye risk tu maana record inaonesha zile game ngumu ndo tunapata points kirahisi zaidi.Kuliko hizo zinazoonekana nyepesi.
Chelsea pale top four atatoka tu.
Bado hajacheza na Liverpool, Man city Arsenal na Westham unategemea hizo games asidrop points ?

Sisi game ngumu tumebakiza Tottenham na Leceister tu tena Leceister OT

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi za Chelsea 90% zote ni tight

Pia, ana Leicester, Cristal Palace, Sheffield, Watford, Wolves

Akikaa vibaya atamaliza namba 7, nyuma ya Sheffield na Wolves

Tuombe uzima tu

Back
Top Bottom