Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,192
- 46,238
Mimi pia nadhani Pogba apigwe bei summer transfer window..sio kwamba B.Fernandes' aninipa kiburi,Naah..ni huyu jamaa kutokueleweka kama ulivyozungumza hapo..na litakuwa tu ni swala la Ole kutwist team ili kum-accomodate yeye na matokeo yanaweza kuwa sio chanya..Natamani abaki kuwa sehemu ya historia
We should move on
Summer inakuja tusajili wachezaji wanaojielewa..... Grealish/Madison not bad options
Huyu anaweza sema anabaki halafu katikati ya msimu aanze ujinga ujinga tena, kwanza ameshakuwa injury prone
We should move on
Kuelekea kumaliza msimu anaweza kucheza ili kuimarisha thamani yake na kwa kuwa tupo kwenye FA, Europa na ligi atapata tu nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaweza kusajili Kiungo mwingine na RW( kama Sancho) na Striker na tutakuwa title contenders i'm sure
Pogba anatuhitaji sisi kuliko sisi tunavyomuhitaji kwa sasa..Epl ni best league ..La liga imekosa mvuto now