Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Makocha karibu wote huwa na mchezaji ambaye ni Multipurpose uwanjani, mchezaji anayeweza kuaccess eneo lote la uwanja.

Inawezekana akawa kwenye midfield au kwenye final third.

Ningeweza kukuwekea kila timu hapa ni mchezaji gani huwa anafanya hayo majukumu but nakupa exercise ndogo tu.

Kawaangalie vizuri Man city, Real Madrid, Bayern Munichen, Juventus Man united.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo linaeleweka mkuu

ila kuna muda kwenye mchezo mchezaji lazima ukabe kwa nguvu hata kama umepewa jukumu special

Man city ile bora kabisa ya msimu wa 2017-2018 kila mtu alikuwa anakaba kwa nguvu pale inapostahili..sio Bernado,sio Silva,sio De bruyne..Hata Pep aliulizwa akasema anawa-demand wachezaji wake wote wakabe tena vizuri..

Tunapata cleansheet nyingi msimu huu kwa kuwa pia eneo la kiungo pia linakaba sana ,Fred anakaba kama hana akili..

mambo ya kuwa na Middle legevu legevu yataanza kuturudisha tena nyuma hatua nyingi tu
 
Hata mimi kusema Free Role simaanishi kwamba anasimama kusubiri kukabiwa uwanjani lakhsha.

Naamanisha awe na access maeneo mengi ya uwanjani kama anayofanya Bruno Fernandez kwa sasa, kama anayofanya KDB pale Man city au kama anayofanya Luka Modric pale Real Madrid.

Sasa hebu jaribu kuimagine unawachezaji wawili uwanjani wenye instincts za aina hiyo utakuwa na timu gani defensively ?.

Tutakuwa hovyo sana defensively..
 
Mkuu acha dharau, mtu anaweza dhani umetusifia

Mwakani macho yetu yapo kwenye EPL na kila kitu kilicho mbele yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Kama Klopp na Guardiola wakihama vilabu vyao hapo sawa vinginevyo sahau kushinda EPL kwa sasa Mkuu,Tengeneza timu kwanza angalau hata kwa misimu miwili mbele tena sawa Mkuu.
 
Habri zenu mashabiki wenzaangu wa UTD..nilipotea kdg..ss nimerudi..

Kwa haraka haraka naona topic ni POGBA akirudi itakuwaje!? Swali ni kwamba ataingiaje kwenye team!?

Kabla ya yote ni kwamba POGBA anavyoonekana akirudi atataka kupambana ili kujionyesha kwamba bado ni King wa Old trafford kwa maana ya kwamba sshv ule wimbo pendwa wa "pogbaaa" umegeuka kuwa "Brunoooo"..so naona atakavyopambana kujionyesha he's still the best, which is good for the team

Okay tukirudi kwny formation..

Jibu ni rahisi kuna mifumo zaidi ya mitatu itakayoweza kuAccomodate midfield yote but lazima tuSacrifice mchezaji mmoja ili pogba aingie

4-4-2 diamond
Hapa katikati utakuwa na
Matic(CDM) POGBA(LCM) FERNANDES(CAM) na Fred(RCM)

4-3-1-2
Katikati unakuwa na CM watatu.. Na CAM-Bruno akicheza nyuma ya strikes wawili

4-3-2-1
HIi unakuwa na Central midfield(CM) watatu(matic,fred,mctominay) kwa mbele unakuwa na Attacking midfield wawil(Pogba+Bruno) na striker mmoja(Martial/ighalo)

Kuna wengine walisema auzwe..
Nakubaliana na hilo kwa 7bu Pogba mwenyewe alishasema anataka new challenge ss kwann tuendelee kumbembeleza!? Pia Agent wa jamaa ana maneno ambayo sio mazuri kwa club so Pogba must go unless akiamua kujicomit kwny club!

Lakini hata akiuzwa/asipouzwa inapaswa waingie midfield(glearish) Right wing(sancho) na striker(welner wa ujerumani) hapo UTD intakuwa ni Untouchable!!!!
GGMU..GGMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klop kachukua point nne tu kwetu this season, Guardiola kaambulia patupu watakuwa na madhara gani wakiwepo ?
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Kama Klopp na Guardiola wakihama vilabu vyao hapo sawa vinginevyo sahau kushinda EPL kwa sasa Mkuu,Tengeneza timu kwanza angalau hata kwa misimu miwili mbele tena sawa Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani abaki kuwa sehemu ya historia

We should move on

Summer inakuja tusajili wachezaji wanaojielewa..... Grealish/Madison not bad options

Huyu anaweza sema anabaki halafu katikati ya msimu aanze ujinga ujinga tena, kwanza ameshakuwa injury prone

We should move on

Kuelekea kumaliza msimu anaweza kucheza ili kuimarisha thamani yake na kwa kuwa tupo kwenye FA, Europa na ligi atapata tu nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupunguze wachezaji wa kingereza.

Twende ligi nyingine tukalete vipaji kama Bruno.

Grealish na Madison sikushauri. They are average.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna wachezaji wa kucheza 4 4 2, especially wingers
Habri zenu mashabiki wenzaangu wa UTD..nilipotea kdg..ss nimerudi..

Kwa haraka haraka naona topic ni POGBA akirudi itakuwaje!? Swali ni kwamba ataingiaje kwenye team!?

Kabla ya yote ni kwamba POGBA anavyoonekana akirudi atataka kupambana ili kujionyesha kwamba bado ni King wa Old trafford kwa maana ya kwamba sshv ule wimbo pendwa wa "pogbaaa" umegeuka kuwa "Brunoooo"..so naona atakavyopambana kujionyesha he's still the best, which is good for the team

Okay tukirudi kwny formation..

Jibu ni rahisi kuna mifumo zaidi ya mitatu itakayoweza kuAccomodate midfield yote but lazima tuSacrifice mchezaji mmoja ili pogba aingie

4-4-2 diamond
Hapa katikati utakuwa na
Matic(CDM) POGBA(LCM) FERNANDES(CAM) na Fred(RCM)

4-3-1-2
Katikati unakuwa na CM watatu.. Na CAM-Bruno akicheza nyuma ya strikes wawili

4-3-2-1
HIi unakuwa na Central midfield(CM) watatu(matic,fred,mctominay) kwa mbele unakuwa na Attacking midfield wawil(Pogba+Bruno) na striker mmoja(Martial/ighalo)

Kuna wengine walisema auzwe..
Nakubaliana na hilo kwa 7bu Pogba mwenyewe alishasema anataka new challenge ss kwann tuendelee kumbembeleza!? Pia Agent wa jamaa ana maneno ambayo sio mazuri kwa club so Pogba must go unless akiamua kujicomit kwny club!

Lakini hata akiuzwa/asipouzwa inapaswa waingie midfield(glearish) Right wing(sancho) na striker(welner wa ujerumani) hapo UTD intakuwa ni Untouchable!!!!
GGMU..GGMU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are they average because they are English? Nakumbuka anti-English players walikuwa wanamdisi sana Henderson wa Liverpool, lakini juzi juzi wakaanza kuuona umuhimu wake

Advantage ya Grealish/Madison (kwangu mimi naona sio average) wanaijua ligi na wamecheza kwenye kiwango cha juu katika hiyo ligi wakiwa na timu za kawaida, hivyo my assumption wakija United kwenye wachezaji bora watafanya vizuri zaidi

Kwangu mimi utaifa sio hoja, hoja ni uwezo wa wachezaji

Unasema tuachane na Waingereza, embu tutajie options ambazo ni attainable kwa sasa, wachezaji wa hizo namba wasio wa Uingereza

Juzi nimeona Mourinho anasema Ndombele hawezi kupewa tena chance pale Spurs, na Ndombele alikuwa wa moto sana kule League 1

Back
Top Bottom