Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba Auzwe Tu... Walituaribia Timu Walee Jamaa Wachezajii Majina Makubwa Timu Halina Kitu---
Ila Mpwa Hivii Rashford Naye Akirudi Martial Tutamueka Wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Rashford akirudi hamna tatizo..Rashford anacheza kushoto,Martial Ole anamtumia kama mshambuliaji wa katikai
 
Fred au Matic atakaa benchi sema timu defensively itakuwa so exposed hasa kama Solkjaer ataendelea kucheza 4 2 3 1.

Kama Solkjaer ataamua kubadili mfumo 3 5 2 au 4 4 2 diamond itaweza kuwa kuaccomodate wote wanne at once.
Nawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba Auzwe Tu... Walituaribia Timu Walee Jamaa Wachezajii Majina Makubwa Timu Halina Kitu---
Ila Mpwa Hivii Rashford Naye Akirudi Martial Tutamueka Wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Rashford kwa Ole sio striker msimu mzima kacheza kama winga wa kushoto na martial kati.
 
hakuna striker yoyote epl mwenye conversion rate kubwa kushinda martial (msimu uliopita) na sitashangaa pia msimu huu akiongoza
2ne60sbu8pd31.jpg
hahahaha kwa hiyo atabeba golden boot?
 
Natamani abaki kuwa sehemu ya historia

We should move on

Summer inakuja tusajili wachezaji wanaojielewa..... Grealish/Madison not bad options

Huyu anaweza sema anabaki halafu katikati ya msimu aanze ujinga ujinga tena, kwanza ameshakuwa injury prone

We should move on

Kuelekea kumaliza msimu anaweza kucheza ili kuimarisha thamani yake na kwa kuwa tupo kwenye FA, Europa na ligi atapata tu nafasi

Nawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man Utd kwa summer inayokuja wapo sokoni kwa wachezaji si chini ya 3

Waliopo kwenye radar ni

Winger (Sancho),

Striker (Unknown japo Jimenez, Lautaro Martinez wametajwa, juzi nimesikia na Kane)

Kiungo/Namba 10, Madison/Grealish
Nashauri the same pogba auzwe then tununue winga 1 na striker 1

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom