Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kila nikiangalia kiwango cha Bruno na jinsi Manchester walivyosuasua kumsajili japo walikuwa hawana upinzani toka timu zingine kubwa, naona pale Man U kuna shida sana na uongouongo mwingi
Bruno alisajiliwa kupunguza hasira za mashabiki.

Haikuwa kwenye mpango wa kocha, ed au wamiliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
248208744_202608.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martial atakuwa fire!!!! Oh my God, kama lini aliwahi kuwa fire. Msimu mzima kacheza karibia mechi zote hatuna chetu hapa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli anaweza kuwa hajawa fire kama wengi wanavyodhani lakin kumbuka timu Yetu ni tiamaji sana kwa hiyo Martial anajitahidi kwa uwezo wake.Hakika leo atatusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom